DADA NAMPA SHEMEJI VYOTE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya Kwanza
(Wakubwa tu)
Nimekwambia nyamaza.
” Dada nitanyamazaje mwanangu anaumwa.
” Sasa kama anaumwa wewe ni baba yake tulia sitaki kusikia tena unalia hapa.
” Dada yule ni mwanangu nimemzaa mwenyewe.
” Najua na aliyemchukua ni baba yake wewe tulia yeye ataangaika na mwanawe.
( Naitwa Tina..nilikuwa nahishi na bwana angu mkoani tulipata mtoto mmoja ila mtoto alipofika umli wa miaka mitatu bwana angu akaanza kubadilika na kunitesa…kitendo ambacho dada akupendezewa nacho alikuja kunichukua nije mjini ila bwana angu akaninyang’anya mtoto..nimekuja mjini naishi na dada akiwa na mumewe ambaye ni shemeji yangu ila cha ajabu dada ataki mimi niwe na mawasiliano kabisa na mwanangu…nimepata taarifa ya mwanangu anaumwa kupitia jirani..cha ajabu dada ananifokea nisiwe mnyonge…shemeji alikuta naongea na dada kuhusu mtoto alimwambia dada)
” Mke wangu mimi naona shemeji aende kupambana amchukue mtoto aje hapa tuishi nae.
” Unasemaje mume wangu.
” Shemeji tina aende kumchukua mwanawe aje hapa.
” Aya mambo ya ndugu ayakuhusu.
” Mke wangu unaongea maneno magumu sana mimi aya ayanihusu?
” Ndio ayakuhusu.
( Shemeji alikasirika sana akaingia ndani kuhepusha ugomvi…dada akaniambia)
” Nisije kukuona mpole tena na ukiendelea huo unyonge nitakunyang’anya simu usiwe na mawasiliano kabisa na hao wambea wanaokupa taarifa za mwanao.
( Nilikaa kimya maana natamani kumjibu ungezaa usingesema yote ayo…aliingia chumbani kwa mumewe wakaongea wanayoongea ila yalikuwa ya ugomvi maana shemeji akupendezewa majibu…siku ikapita asubuhi shemeji kaondoka dada alienda kuoga simu yake aliacha mezani…mimi kwenye kupangusa meza nikaishika simu ya dada naona sms imeandikwa)
” Si umtimue kwako”
( Kwakweli nikashika simu nikawa nasoma mwanzo nini na nani katuma hii sms..naona baba wa mtoto wangu ndio anachati na dada dada ndio alianza)
” My nimekwambia hama hapo utaki unaona taarifa za mtoto zinamfika mdogo wangu.
” Nitahama ila wewe ndio sababu siku izi unipendi kama zamani.
” Unataka nikupendeje my kama kuja nimekwambia nitakuja ila hapo hama sitaki wambea wanione.
” Ila kama unanipenda fanya kitu kimoja.
” Kipi?
” mdogo wako asikae hapo.
” Yani naona kabisa nimtimue maana anajitia kulia lia hapa.
” Si umtimue kwako”
( Kijasho kimenitoka nimegundua bwana angu anatoka na dada yangu kumbe mateso nilikuwa napitia yeye ndio chanzo..niliacha simu dada anatoka chooni ananiambia)
” Naomba simu yako sitaki uwe na simu kuanzia sasa.
( Nawaza nimwambie ukweli nimejua nawaza nimpe simu hili ajue sijui chochote nawaza hapa nafanyaje)
Sehemu ya Pili
Nikampa simu.
” Asante sitaki uwe na mawasiliano kuanzia sasa.
( Mimi kimya…akajiandaa akaenda kazini kwake sijui..mala shemeji karudi kaniona mnyonge akaniuliza)
” Tina vipi shem wangu mbona upo ivyo.
” Dada kaninyang’anya simu.
” Amekunyang’anya simu?
” Ndio.
( Akaingia ndani kwake akaikuta simu juu ya kabati..akaichukua akanipa)
” Shemeji italeta ugomvi kati yako na dada wewe muache tu akae nayo.
” Sasa taarifa za mtoto wetu utazipataje?
” Yeye ilo ndio ataki.
” Samahani Shemeji kwa hili nitalokwambia.
” Niambie.
” Dada yako ananiambia anataka kusafili kidogo aende zanzibar kuna biashara anaenda kuifatilia mimi naona dada yako akienda zanzibar wewe uwende kwa uyo mzazi mwenzio ukamwangalie mtoto ikiwezekana muombe uje nae hapa naisi utakaa kwa amani unajua Shemeji wewe mwili unao unashindwa kuja kwa sababu ya mawazo.
” Sawa Shemeji dada anaondoka lini?.
” Siku mbili izi izi ila wewe shika laki tatu hii kaa nayo kama akiba akiondoka na wewe unaondoka akirudi anakukuta hapa na mtoto.
” Akinifukuza.
” Kwake hapa mpaka akufukuze akikufukuza atakuwa anatafuta makubwa zaidi.
( Nikawa najiuliza makubwa gani tena…alafu kimya nimechukua laki tatu…Shemeji akaondoka…dada aliporudi yeye ananiuliza)
” Umekula.
” Ndio.
” Aya nimekuletea game hili uwe unacheza unapoteza mawazo ya mtoto wako.
( Namwangalia simmalizi yani game lipoteze mawazo ya mwanangu kweli uyu dada ni kichaa kidogo kichwani au?..nikachukua lile game kama fala vile naenda anavyotaka…siku zilipita dada akaondoka mimi akaniambia)
” Naenda zanzibar ila siwezi kukuacha na mume wangu hapa inawezekana usiku akazidiwa akakubaka ikawa mjinga mimi naenda kukuacha kwa shoga yangu muda wa siku saba nitakuwa nisharudi.
” Sawa.
( Yani kama fala vile…kweli akanipeleka kwa shoga yake akaniacha akaondoka…mimi nikalala asubuhi nikamwadisia shoga yake yaliyojili kati ya mimi na dada juu ya mtoto ila nimemficha swala la sms za aliyekuwa wangu wanachati akasikitika sana)
” Sasa kwanini kakunyang’anya simu ila dada yako ana roho ya ajabu sana kwaiyo wewe umepangaje?
” Samahani naomba usimwambie kitu mimi kesho nisafili niende kumfata mwanangu.
” Siwezi kumwambia nauli sasa unayo.
” Ninayo.
” Sawa nenda kama atakufukuza kwa sababu umekuja na mtoto njoo ukae nae hapa dada yako roho yake sijaipenda na sikuwa najua kama nipo na rafiki wa aina gani.
” Sawa.
” Tena chukua kiswaswadu hichi ukitumie tina.
” Sawa hii laini aina watu.
” Aina nimesajili jana tu tumia.
” Sawa.
( Nikaweka namba yake yeye shoga wa dada…kweli nikaondoka…sasa kufika napoenda alipokuwa anakaa bwana angu amehama….ila majilani wakanielekeza alipohamia…nikaenda zangu mpaka alipohamia…nikagonga mlango siamini macho yangu…nilikuwa nagonga bila kusema hodi…aliyekuja kufungua ni dada yangu akiwa amefunga kitenge tu kifuani macho yalikutana)
😳……😳
Sehemu ya Tatu
” Tina ni wewe au mzimu wako.
( Nikamjibu dada)
” Vyote ni sawa namuomba mwanangu.
( Bahati nzuri mwanangu alisikia sauti yangu akawa anaita)
” Mama mama akuja.
( Iliniuma mwanangu nimemuacha anajua kunyosha maneno leo anasema akuja mtoto wa miaka mitatu..alitoka ndani akanikumbatia dada anasema)
” Mtoto anaumwa uyu nilikuja kumsaidia ndio nafika uku boda boda akanimwagia matope nimefua nguo zangu nasubili zikauke nimpeleke hospital.
” Sawa.
( Sikutaka kuongea nae sana najumlisha sms nimejumlisha tukio kumbe anampa kuma bwana angu shauri yake mtu mzima ovyo…nikampeleka mwanangu hospital akapata tiba…dokta akaniambia)
” Uyu mtoto atakuwa alikuwa anafungiwa ndani mbona anaongea ivi.
” Atakuwa sawa tu dokta nisaidie tiba nzuri.
( Kweli alimpa dawa zenye uhakika nikawa nimemtibu mwanangu…nikaondoka siku ya pili nikarudi mjini na mwanangu..moja kwa moja nikafikia kwa shoga wa dada…sikumwambia nimeonana na dada…alimpenda mwanangu akaniuliza anaitwa nani?.)
” Faudhia.
” Jamani mtoto mzuri uyu faudhia nitakusuka utapendeza alafu ana unywele.
( Nilisikia falaja sana kuona shoga wa dada anampenda mwanangu…siku ya tatu dada akaja akaniona na mwanangu akaniita pembeni akaniambia)
” Kwanini umeenda kumchukua mtoto kwa baba yake?.
( Yani kama angekuwa mdogo wangu ningemjibu na kofi moja la uso inawezekana akili zake zimehamia matakoni uyu nikamjibu kistaharabu)
” Nimemchukua kwa sababu mimi mama yake.
” Uyu ni ndugu yako? Mpaka utake uteseke kwa ajili yake uyu ndugu yake baba yake sio wewe.
” Dada acha nimlee jilani yangu wa karibu.
( Namjibu kutokana na maongezi yake anaanza kunitukana)
” Kulea mtoto unazani kufuga vuzi wewe unayo kazi inayokuingizia kipato nimekuombea ukae hapa unazani sikumuachia pesa ya kula shoga yangu.
” Dada kazi nitatafuta.
” Toka katafute kazi na ujue mwanao utahishi nae wapi?.
” Sawa samahani naomba ukanipe simu yangu niuze nianze kuona mwanga wangu wa kesho.
” Simu au Kopo lile.
” Naomba ilo ilo kopo.
” Twende ukachukue mimi nawapenda watu jeuli kama nyinyi.
( Alinishika mkono kama mtoto kaiba nyama jikoni ya sikukuu nikamwambia)
” Dada niachie mkono wangu si tunaenda.
” Twende changamsha miguu iyo.
( Kwakweli machozi yananitoka yenyewe…shoga yake kumbe alikuwa anaona kila kitu ila ugomvi wa ndugu ajataka kuingilia…nafika kwake akaniweka nje alafu akanirushia simu ikaanguka ikapasuka…nikaokota naondoka ananiambia)
” Usiende kwa shoga yangu tena nakuja uko uko wewe kauze simu ujue mwenyewe ukae kwenye hili jiji au urudi kijijini unajifanya unisikilizi mimi.
( Nikawa naondoka njiani nakutana na shemeji…nikamsimulia ya pale tu ila sikumwambia nimemfuma dada na bwana angu shemeji akaniambia)
” Tina usiondoke kwenye hili jiji dada yako anajifanya chizi sasa naomba twende kwanza sehemu upumzike mimi nitakuja baadae tuyajenge.
” Sawa.
( Shemeji akaenda kunichukulia chumba gest nipo na mwanangu tukaingia kupumzika akanipa pesa ya chakula akaniambia)
” Nakuja baadae.
” Sawa.
( Nilinunua chakula nikala na mwanangu faudhia nikawa nacheza nae mapera mapera namfurahisha mwanangu mimi nikiwa na majonzi moyoni…nashangaa mpaka saa tatu usiku shemeji ajaja…faudhia akalala…saa tano ndio usiku ndio akaja akakaa kitandani…mimi nataka kushuka kitandani nikae kwenye sofa dogo akanizuia akanivuta karibu yake uku ananiambia)
” Shemeji nimekuja tulale wote tupange kesho ya mtoto wetu.
” Tulale wote😳.
” Ndio shemeji kwani kuna ubaya leo tunalala hapa kesho nakupangia nyumba yako alafu mtoto tumpeleke shule aanze kusoma wewe nitakufungulia biashara.
” Sawa ila shemeji sio tulale wote si ukalale kwa dada.
” Alafu wewe unamwita dada yeye anakuita mshamba acha kumweshimu asiyekuheshimu shemeji.
( Mkono wake autulii ananigusa nao mimi akili ikanijia shemeji anataka kutoka na mimi kimapenzi uyu dalili zote naziona nikawa naukataa ule mkono wake kuendelea kutalii mwilini kwangu…mala simu yangu inaita namba ya dada yangu nikapokea akaniambia)
” Kumbe ujauza kopo lako naona umepata bwana analitafuna kopo lako na wewe unacho kizazi kinaning’inia ngoja upokee mimba nyengine.
” Umenipigia kuniambia ayo.
” Nimekupigia kutaka kujua kopo unalo kumbe unayo yote.
” Lipi na lipi?.
( Dada akanitukana)
” Kopo la kuma na kopo la simu.
” Dada upo sawa kweli wewe.
( Akakata simu…najiuliza nimemkosea wapi?…nikainamisha kichwa changu chini nawaza nashangaa shemeji anazichezea nywele zangu uku ananiambia)
” Tina acha nikwambie ukweli nakupenda naomba uwe wangu autakuja kujutia kuwa na mimi nataka nikuonyeshe utofauti wa uyo aliyekutenda nataka niwe wako na msaada wako kwenye maisha Tina kunjua nafsi.
( ajaniita tena shemeji kaniita jina langu…roho ya kisasi inanijia akili ya kukataa inanijia nawaza ipi niipe kipaombele kisasi au nikatae)
Sehemu ya Nne
Nikamwambia.
” Shemeji itakuwa sio vizuri wewe ni mume wa dada.
” Najua ilo tina ila wewe usiwaze ilo nakuomba uwe wangu.
” Shemeji acha basi nifikilie.
” Sawa.
” Naomba uwende basi nilale kichwa kinaniuma sana shemeji.
” Sawa lala ila usiwaze mambo ya dada yako naomba unipe nafasi kwenye moyo wako.
( Shemeji akaondoka…nikaingia kwenye wimbi la mawazo juu ya dada nikawaza ivi niwe na Shemeji kweli kama dada amekosea na mimi nikosee potelea mbali kweli…nawaza tu usingizi ukanichukua asubuhi kiswaswadu alichonipa shoga wa dada kinaita anapiga shoga wa dada nikampokea Nikamwambia yote ya dada…shoga wa dada akaniambia)
” Tina unacho kifua?.
” Ninacho.
” Mimi naona kabisa dada yako anatoka na bwana uliyezaa nae sasa wewe anakuchukulia kama mke mwenza anakufanyia vituko ufubae hili bwana yule asije akakutamani tena.
” Mbona mimi ilo najua nilikuficha tu nimefumania sms kwenye simu yake na nilipoenda nilimkuta akiwa na kitenge tu.
” Tina unao moyo wa peke yako.
” Ni kawaida mimi naangalia mwanangu tu mapenzi sitaki.
” Sasa tina nakutumia pesa inaweza kukusaidia au kukusogeza kwenye moja na mbili mimi nasafili wewe kapange usiondoke kwenye hili jiji nitakuja kukupa ujanja wa kuishi kwenye hili jiji.
” Sawa.
( Akanitumia laki nne…nilishukuru sana…mala akaja shemeji akanichukua akanipeleka kiwalani akaniambia)
” Nimekupangia uku uwe mbali kabisa na dada yako naomba kama utanielewa badilisha laini dada yako asikupate hewani.
” Mimi sitampokea tu simu zake.
” Sawa.
( Nyumba nzuri kanipangia kaninunulia vitu kaniwekea ndani…mixsa chakula cha kutosha…alafu akaondoka…nililala peke yangu…mimi mwenyewe nikawa natamani nimpe shukurani nimpe kitu roho inapenda amejua kunijali..siku inayofata akaja akanichukua akanipeleka shule ya chekechea akamwandikisha mwanangu akamlipia miezi sita…akazidi kunifanya nimpende…tulimwacha mtoto shule…tukarudi nyumbani tulipofika akaniuliza)
” Vipi jibu langu sasa.
( Najifanya kama mtoto sijui tuliongea nini?..)
” Jibu gani tena?.
” Naomba uwe wangu.
( Nilikaa kimya nikang’ata kucha kwa aibu ya kike namuuliza sauti ya chini)
” Niwe wako?.
” Ndio uwe mpenzi wangu tina nakupenda sana.
( Nilikaa kimya naona aibu kusema na mimi nampenda…akanishika mkono sikumzuia akanisogeza karibu yake akaniambia)
” Naomba uwe wangu.
( Sikuweza kumjibu najikuta namkumbatia alafu nalia kwa furaha kwa kile alichonifanyia nashangaa simwiti shemeji namwita)
” Shabani umejua kunifuta chozi.
” Nakupenda vyote nafanya kwa sababu ya upendo juu yangu nakupenda sana.
” Asante.
( Simzuii mkono wake unaanza utalii mdogo mdogo kwenye mwili wangu ananiambia)
” Upo tayali my.
” ndio nipo tayali.
Sehemu ya Tano
” Utafurahi kwenye maisha yako tina.
” Asante.
( Shemeji akataka kufungua kitabu rasmi cha mahaba kwangu…ila bahati mbaya kwake simu ikaita akapokea akaitwa kazini…akaniambia)
” Nakuja usiku kulala mpaka asubuhi.
” Sawa.
( Akatoka akaenda kununua kuku wa kienyeji akaja akamchinja akaniambia)
” Andaa chakula kizuri my.
” Sawa.
( Shemeji akaondoka…mimi nikaanza kumuandaa kuku uku nasema leo nampa wala simnyimi…nikapika chakula vizuri…shoga wa dada akanipigia ananipa umbea)
” Yule bwana ako ni mshamba wa mapenzi kavutwa aje akae mjini na katafutiwa kazi kapangiwa hili amsuuze dada yako tu.
” Shauri yake kila mtu na shetani wake inawezekana dada anafikishwa na uyo.
” Ata kama dada yako ni mchafu ila wewe pambana kumlea mtoto tu.
” Sawa aina shida.
( Yani tabia za dada ndio zinazidi kunifanya niwaze kufungua mazima kitabu cha mahaba kwa Shemeji yani sijifanyi nina aibu wala nini akinipa naipokea akingojea naifata yani mwanzo mwisho acha nipike chakula baadae mimi na chakula wote tutaliwa…nikamaliza kupika chakula…nikaenda kumfata mtoto shuleni akala nikajitahidi kucheza nae michezo mbali mbali hili usiku alale kwa kutulia nina jambo langu mimi…na kweli saa mbili tu Shemeji kaja…nikamwandalia chakula akala…akamaliza kula…akaenda kuoga…na mimi nikaenda kuoga…mtoto akawa amelala…aina aibu mwenyewe nikamwambia)
” Zima simu isitukatishe steam.
” Dah nimesisimka ulivyosema ivyo.
” Usiku wa leo ni wako na huu mwili ni haki yako.
” Asante sana nimefurahi kusikia ivyo.
( Jamani acha tu shemeji fundi na anajua kuchambua kuma kwa steps tulianza kwa ushirikiano yani ivi…)
INAENDELEA


