π‘ππππ©π¬π’ππππͺπ π‘π π ππππ ππππ, π ππππ π¬π π π¨π π πͺππ‘ππ¨ π‘π π πͺππ‘ππ‘ππ¨
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
EP 04
β Nyonyaaaaaa..β Aliniambia kwa sauti ya ukali.
β Paaaaaaa..β Alinipiga kibao baada ya kuona simnyonyi.
β Nyonyaaaa..β Aliniamba tena kwa ukali zaidi.
Sikunyonya.
β Hutaki eeeh! Sawa, oya mchinje huyo mtoto..β Juma alimwambia mwenzake amchinje mwanangu, Na yule mwenzake bila ya kushangaa alichomoa kisu na kumsogelea mwanangu.
β Usifanye hivyo jumaaa.., tafadhali usifanye hivyoooo..β Aliomba mume wangu.
Sasa kabla sijaendelea na ili uielewe vzuri hii simulizi acha kwanza nikueleze kwanini mume wangu alimuomba msamaha juma, nini kilitokea kati yao, na wakati nalieleza hilo ni vyema nikajitambulisha maana hadi sasa nasimulia sijajitambulisha.
Ni hivi,
Kwa majina naitwa Rose mkonde, nimezaliwa mkoani morogoro na kukulia mkoani Ruvuma kwenye kambi ya jeshi ya chabruma. Baba yangu alikuwa mwanajeshi, alikuwa akifanya kazi kwenye hio kambi.
Shule ya msingi nilisoma Chabruma na Secondary nilienda kusoma Ruhuwiko sekondary iliyokuwepo songea mjini. Kutokana na kutozingatia masomo sikufanikwa kuendelea na masomo.
Hivyo nilibak nyumbani tu.
Miaka miwili ya kukaa nyumbani bila kazi ilinifanya nianzishe mahusiano na askari mmoja aitwae James. James alikuwa ndo kwanza kaanza kazi, alinipenda nami nikampenda. Kwakuwa yeye alikuwa bado hajaruhusiwa kuwa na mke , mahusiano yetu tulifanya siri.
Miaka kadhaa mbele aliporuhusiwa alikuja kujitambulisha nyumbani , lakin ajabu baba alikataa kata kata mimi kuolewa na mwanajeshi! Hakutaka hata kusikia lile swala, hivyo posa ilikataliwa na barua haikupokelewa.
Hili swala lilileta kasheshe sana, mahusiano yangu na baba yakavurugika, pia mahusiano ya baba na yule kijana yaliharibika kabisaaa. Kutokana na hilo, yule mpenzi wangu aliumia sana kwakuwa alinipenda. Gafla tu alijiingiza kwenye ulevi ili kupoteza mawazo ya kunikosa.
Akawa analewa sana kupunguza mawazo, na kutokana na ulev akawa anagombana na watu weng sana, kwenye kijij jiran cha lilambo walikuwa wanamchukia sana, maana alikuwa akienda kulewa lazima apige watu.
Watu walikuwa wanaogopa kumpiga kwakuwa wanajeshi walikuwa na tabia ya kulipa kisasi, yaani ukimpiga mmoja wanakuja wengi kuwapiga na nyie, Hivyo kutokana na hilo walimvumlia tu.
Sasa siku moja nikiwa nyumbani, mwenzake mmoja alikuja kuniaambia hali ya james sio nzuri. Aliniambia kuwa James yupo kwenye hali mbaya sana kwenye kijiji cha lilambo. Aliniambia kalewa na kafanya ujinga mwingi sana.
Haraka nilipanda kwenye pikipiki ya yule jamaa na kwenda hadi lilambo.
Kufika pale nilimkuta James yupo na bukta tu , pia alikuwepo mwanamke mwengine kajifunika kanga kakaa chini. James alikuwa akiongea maneno machafu sana kwa wale watu.
β Utanifanya nin weweβ¦ mkeo nimemtβ¦mba na la kunifanya hauna.β Alibwata james.
β Kama mnanguvu niguseni muoneee, na nitat..mba mtaa mzama na hakuna mtakachonfanya.β Alizidi kubwata james. Maneno yake yalinishtua sana. Nilimgeukia rafiki yake na kuuliza kitu gani kinaendelea.
β James kafumaniwa na huyu mke wa mtu! kakutwa humu ndani anafanya naye mapenzi, na mbaya zadi analeta ubabe.. huyu hapa ni mume wa huyu mwanamke aliyefumaniwa nae .β ALiniambia yule jamaaa.
Aiseee moyo uliniuma sana.
Wivu ulinijaa na kujikuta nachukia kupita maelezo. Nilimfata pale chini na kumvuta . Nilimtutusa na kumtoa pale.
β Paaaa..paaaaa.β Nilimpiga vibao mfululizo. Vibao vyangu vilimuweka sawa kidogo. Aliponiangalia na kujua ni mimi, pale pale James alianza kulia na kuomba samahani. Alinitaka nimsamehe. Aliniambia ananipenda na ndio mana anashindwa kujicontrol na kufanya mambo ya ajabu.
Licha ya kuumia kwa kile alichokifanya , kwakweli nilimuonea huruma. Nilimkumbatia kwa nguvu na kumtuliza.
Hayo yakiendelea, mume wa yule mwanamke alitufata.
β Wewe ni mke wa huyu jamaaa?β Aliniuliza.
β Ndio.β Nilijibu.
β Mumeo kanidhalilisha sana, nataka aniombe samahani. Tena aombe samahani mbele ya watu wote hawa. Hawez kutembea na mke wangu kisha akajisifu mbele yangu na mbele ya watu wote hawa kisa yeye ni mwanajeshi.β Aliongea yule jamaaa.
Kaul yake ilimkera James, alisimama kwa hasira na kumzaba kibao.
β We boya unataka nikuombe msamaha, mimi mwanajeshi nikuombe msamaha wewe raia.β ALiongea kwa ukali sana James. Alimpiga kibao kingine kisha akampiga teke. Nilimzuia. Yule jamaaa akiwa kalala chin nilishuhudia machozi yakimtoka machoni.
Sura yake ilionesha ina uchungu mkubwa sana.
Alijitutumua na kusimama, Huku akiwa anatetemeka kwa hasira aliongea maneno yaliyoniacha mdomo wazi.
β Kama ulivyomfanya mke wangu nami nitamfanya mkeo, tena mimi nitamfanya mbele yako, nitamfanya kila sehemu..nitamfanya..β Aliongea yule bwana huku akitetemeka kwa hasira.
EP 05
Kabla hatujaendelea na simulzi yetu naomba nikupe siri, Njia pekee na salama ya kukufanya uendelee na uwe tajiri ni kuilinda pesa yako isichezewe. Usipofanya hivyo hata upokee sh ngapi Kamwe hauwezi kuwa tajiri . Kuna watu walikuwa wanauza nyanyaΒ na wamekuwa matajiri kwasababu waliijua hii mbinu ya kuilinda pesa yao isichezewe na vitu vibaya kama majini na binadamu wenye husda. Hivi haujiulizi unaweza ukapata laki tano leo na kesho ukawa huelewi imeishaje? Ili uweze kuilinda pesa yako hauhitaji kuua mtu wala kufanya uchawi, kuna kitu ukiwa nacho kamwe hela yako haitachezewa. Wasiliana naΒ mtaalamu Tango akusaidie, mpaka sasa kawasaidia watu wengi sana hasa wakinga wa makete. Mpigie kwa namba 0765781837.
Tuendelee na simulizi yetu,
Kauli yake iliwaacha watu wote midomo wazi!
Tuliduwaaa.
β Unasemaje?β Aliuliza James akiwa anatetemeka kwa hasira. Alisimama na kumrukia teke. Jamaa alianguka chini, james alimpiga tumboni jamaa akatapika damu. Alimpiga mfululizo. Rafiki yake nae aliingilia kati.
β Umekosea sana, hata kama jamaa yangu kakosea hupaswi kusema hayo uliyoyasema..β ALiongea rafik yake james aitwae peter ambae naye ni mwanajeshi. Walimpiga yule jamaa tumbon mfululzo, lakini muda wote wanampiga jamaaa alikuwa akisema atanibaka.
β Nitambaka mkeo..nitambaka mkeo mbele yakoo..β ALiongea huku damu zikimtoka mdomoni.
Alivuja damu mwili mzima lakin hakujali, aliendelea kuongea jambo lile lile kuwa atanibaka mbele ya james.
β We mwanamke, hawa jamaa watamuua huyu kijana, hebu fanya jambo..β Waliniambia wanakijij wa pale. Haraka nilingilia. Nilimtoa james na kumtaka peter aache kumpiga yule mtu.
Walinisikliza.
Lakini ile tunaondoka, yule jamaa aliropoka tena.
β Mkeo inaonekana anajoto sana, nitafaidi sanaaaaa.β Aliongea kisha akaangua kicheko.
James alitibuka zaidi, alitaka kurudi kwenye kumpiga, lakini kabla hajafnya hvyo, defender ya jeshi ilifika. Alishuka mkuu wa kambi na kuja mpaka pale. Yule jamaa licha ya kuona mkuu wa kambi kaja na askari wengine alizidi kuongea maneno yale yale.
β Nitambaka mkeo mbele yako..subiri uoneeeβ¦ nitamkula uroda mbele yakoβ¦aahahaha..ahahahaha..β ALiongea yule jamaa kisha akaangua kcheko.
James alitaka kwenda kumpiga lakini askar wenzake wakamtuliza.
β Wewe ni nani unaongea hayo kwa askari wangu?β ALiuliza mkuu wa kambi.
β Mkuu vijana wako wameβ¦..β Mzee mmoja alitaka kumueleza mkuu wa kambi kilichotokea lakini mkuu wa kambi akamkatisha. Maneno ya yule jamaa yalimtibua sana. Aliamrisha askar wambebe na kumtupa kwenye gari.
Walimzoa kama furush na kumrushia kwenye gari.
Alipelekwa jeshini.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.
Sifahamu nini kilitokea huko jeshini, ila nasikia aliteswa sana. Haya yote binafs sikuyaona kama ni sahihi. Nilimueleza mama yote na kumuomba ushauri wake.
β Ndio mama baba yako alikataa wewe kuolewa na mwanajeshi! Anawajua walivyo na muda mwingine uwa wanafanya mambo bila kufikiria. Sasa hapa kosa kafanya yeye lakin yule jamaa kaapa kulipa kisasi kwako.β Aliniamba mama.
β Ila usijali, sidhani kama ataweza kukubaka kwel kama alivyoahidi.β ALiniambia mama.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦..
Wiki moja mbele, baada ya lile tukio, James alihamishwa pale na kupelekwa kambi ya chandamal iliyokuwepo songea mjini.
Kitendo cha yeye kuwa mbali na mimi kiliniumiza sana, hivyo niliamua kumpigia simu shangazi ili aongee na baba akubali posa ya James. Nilimueleza madhara ya kukataa posa ya james na yote yaliyotokea.
Shangazi aliniahidi kulifanyia kazi.
Siku tatu mbele baba aliniita na kuniambia kakubali posa ya James, hivyo nimtafute niongee nae aende akafate taratibu. Pia alinitaka nimshawishi aache pombe.
β Alikuwa anakunywa pombe kwakuwa alinikosa mm! kwasasa ataacha.β Nilimwambia baba.
Siku ile ile nilipanga kwenda mjini na kuelekea chandamali kambin kwa james nikamueleze lile swala. Niliaga nyumban na kuelekea lilambo, ili kwenda mjin ilikuwa ni lazima niende lilambo, hapo ndipo napanda gari na kuelekea songea mjini ilipo kanbi ya chandamali.
Kutoka kotazi chabruma hadi lilambo kulikuwa na umbali kidogo, na kulikuwa hakuna magari, hivyo ilinipasa nitembee kwa mguu. Taratbu nilichapa lege kuelekea lilambo nikapande gari.
Nikiwa kwenye barabara kati kat ya lilambo na Kambi ya jeshi ya chabruma, mbele yangu alitokea yule jamaa aliyeniahidi kunibaka.
Ndiii. Moyo ulidunda. Niliangalia kushoto sikuona mtu zadi ya miti tu. Niliangalia kulia pia sikuona mtu zaidi ya miti.
Ndiii..ndiiii..ndiii. Moyo wangu ulidunda kwa hofu! yule kijana alizidi kunikaribia.
EP 06
Niliwaza nifanye nini nikakosa jibu.
β liwalo na liwe.β Nilijiambia.
β Mbona unatetemeka peke yao?β Aliniuliza yule jamaa baada ya kunikaribia.
β Sikia ndugu, ugomvi wako na mume wangu haupaswi kuniingiza mimi.β Nilimwambia moyo wangu ukiwa unadunda sana kwa hofu.
β Usiniite ndugu, Niite Juma.β
β Vyovyote vile. Naomba ugomvi wako na mpenz wangu usiulete kwangu.β
β Ni ngumu sana hilo kufanyika. Mumeo kafanya mapenzi na mke wangu, tena kambaka, maana mpaka sasa mke wangu anasema hakutaka ila jamaa yako alimlazimsha.. na mbaya zaidi baada ya kuniomba samahani kanipiga na kunizalilisha zaidi..hiii haiwezi kwenda bure.β ALiniambia.
Alipandisha shati lake juu na kunionesha makovu.
βona jinsi walivyoniharibu kule kambini..onaaa.β ALiniambia.
Nilikuwa mpole.
β Usiogope, sitakubaka leo. Nitakubaka mumeo akitazama.β Aliniambia juma kisha akaondoka.
Niliduwaa.
Kuongea kwake na kujiamini kwake kulianza kunipa wasiwasi. Jinsi alivyoongea na jinsi alivyonitazama alionesha anauhakika wa asilimia mia moja kuwa atakuja kunibaka mbele ya mume wangu.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦..
Niliachana nae na kuendelea na safari yangu.
Masaaa kadhaa mbele nilifika kambi ya chandamali songea mjini. Nilikutana na mpenzi wangu James na kumueleza yote ambayo baba aliniambia.
James alifurahi sana. Siku ile ile alifanya mawasiliano na ndugu zake wakapanga kuja kutoa posa upya.
Ndani ya mwezi mmoja niliolewa na james, nilihama nyumbani kwangu na kuhamia kwa james.
James alikuwa ananipenda sana! kitendo cha kuish nae kilifanya aache pombe na vitu vingine vyote. Alibadilika kabisa na kuwa kijana bora wa mfano.
Mwezi mmoja mbele baada ya kuishi pamoja nilipata ujauzito.
Nakumbuka kuna siku Fulani hivi, nikiwa nimekaa ndani James alifika na kuniamba jambo lililonishangaza sana.
β Mke wangu hatma ya maisha ya mtoto wetu inategemea sana matendo yetu. Kuna matendo tunafanya saizi bila kujua baadae yatakuja kuwadhuru watoto wetu.β Aliniambia.
β Unamaana gani?β
β Ninachomaanisha nataka tuwe watu wa MUNGU. Nataka tuokoke na tumtumikie MUNGU. Tukiwa watu wa matendo mema MUNGU hawezi kuruhusu mabaya tuliyoyafanya zaman yamdhuru mtoto wetu.β ALiniambia.
β Utaweza kuwa mlokole?βNilimuuliza.
β Nitaweza.β ALinijibu.
Siku ya pili mapema sana tulienda kwenye kanisa moja la kilokole maeneo ya msamala, baada ya ibada mchungaj alituita mbele kama wageni. Tulienda na kusalimia kisha baadae tukaeleza sababu ya sisi kuwa pale.
Waumini wote warilipuka kwa shangwe baada ya kusikia tunataka kuokoka. Mchungaji alituongoza sala ya toba kisha tukaokoka kwa kukubali kumpokea bwana kwama mwokozi wa maisha yetu.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Wiki moja mbele baada ya kuokoka James alianza kutafuta nyumba nje ya kambi ili tuhamie. Alipata nyumba maeneo ya bombambil akanichukua na kunipeleka nikaone.
Japokuwa ilikuwa ni nyumba ndogo ila ilikuwa nzuri sana.
Nilipenda.
β Papovizuri.β Nilimwambia.
β Basi kesho tutahamia hapa.β ALiniambia.
Siku ya pili kama tulivyopanga mapema sana tulihamia kwenye ile nyumba. Kutwa nzima tulipanga vitu na kuviweka sawa. Majira ya saa kumi na mbili jioni tulikuwa tumemaliza kila kitu. Tulioga tukala na kwenda ndani kupumzika.
Tulipitiwa na usingizi mzito wa uchovu, lakini majira ya saa saba usikuβ¦β¦β¦β¦β¦.
INAENDELEA


