MLENDA WA PORINI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 31
ILIPOISHIA..
he!, yani kimbele mbele cha kuja mjini, chote kimeisha, nimechoka kuendesha baskeri, natamani unipeleke nyumbani nikaoge” alisema Zuleiya, ambae alishaambiwa kuwa chumba cha Abuu ni kimoja tu.
Endelea…
Ilimshtua kidogo Abdulazizi, ambae anainamisha kichwa chini, na kuwaza kidogo, akagundua ni kweli kwa umbali ule, Zuleiya aingeweza tena kuendesha baskeri kurudi kijijini.
“sawa, lakini tutafute sehemu ule kwanza, utakuwa na njaa” alisema Abdulazizi, huku moyoni anawaza namna atakavyo kwepana na majaribu ya binti huyu, ukichukulia alikuwa na upwiru wa hali ya juu.
“kwani nyumbani hakuna jiko, si nitapika mimi?” aliuliza Zuleiya, wakati huo, wale mafundi walikuwa wamejibanza wanafwatilia mwaongezi ya Abdulazizi, ambae walikuwa wanamwita ustadhi, kutokana na tabia zake, za kuto kupenda makuu.
Abdulazizi anatulia kidogo, anatafakari jambo ili, kisha anamtazama Zuleiya, “sawa wacha niage, tuondoke” alisema Abdulazizi, ambae kiukweli moyoni mwake, allikuwa na wakati mgumu sana.
Maana katika mawazo yake, aliwaza yakuwa, Zuleiya anamchukulia kama kaka au ndugu wa karibu, ndio maana anaona ni kawaida kwenda kuoga na kupumzika kwake, ambako ni sawa na kuita chumbani kwake.
Lakini kwa upande wake, tayari alimsha mpenda mschana huyu, asa kutokana na uzuri wa sura yake umbo lake, na pia tabia zake, ambazo bado ajazifahamu nyingi.
Sasa itakuwaje muda wakupumzika, vinginevyo yeye akatafute sehemu ya kulala, wakati Zuleiya analala pale chumbani kwake, sasa ataenda kulala wapi, maana hapa mjini, yupo yeye mwenyewe tu.
Akiwa mwenye mwazo mengi, Abdulazizi aliwaaga wenzake, na safari ya kuelekea mahenge C, ikaanza taratibu, huku Abdulazizi akikokota baskeri, ni mwendo wa lisaa na nusu mpaka msaa mawili, mpaka kufika nyumbani.
Njiani waliongea mengi, huku Zuleiya akifikisha salamu nyingi, za wazazi wake, kukweli licha ya maongezi na vicheko, lakini bado Abdulazizi alijikuta katika wakati mgumu sana.
Yani kwa haraka kijana wasasa, anaweza akashindwa kumwelewa Abdulazizi, lakini ukweli ni kwamba, siyo kwamba Abdulazizi, asngeshindwa kula kitumbua cha binti huyu, ila kulikuwa na mambo mawili mazito.
Moja vipi kama Zuleiya atakataa, na yeye kuonekana muhuni, sawa anaweza kumshawishi akakubali kutoa kitumua, lakini itakuwaje wazazi wa mschana huyu wakijuwa amefanya jambo kama ilo, hivi ile heshima ya mwanzo itakuwepo kweli.
Naaaaam!, saa tisa Alhasiri, walifika nyumbani, nyumba ambayo, aikuwa na watu wengi, na wapangaji waliopo, awa kuwa watu wakushinda nyumbani, kwamaana watu wa nyumba hii, uanza kuonekana mida ya saa moja usiku.
“hapa ndio nyumbani, karibu sana” alikaribisha Abdulazizi, huku anatangulia kuingia ndani, “asante” aliitikia Zuleiya, huku nae akimfwata Abdulazizi ndani,
“naamini, siku nyingine utapakumbuka” alisema Abdulazizi, wakati anafungua panzia, na kuongeza mwanga mle ndani, na kumpa nafasi Zuleiya kuona vizuri mle ndani.
Ambako palikuwa na kitanda cha nne kwa sita, na zaidi ya meza ndogo, iliyobeba redio casett ndogo, ni vyombo vichache vya kupikia, nan doo za maji, zilizopangwa, kwenye moja ya kona ya chumba kile.
“siwezi kupotea, nimekumbuka njia mzima kutokea mjini” alisema Zuleiya, aliekuwa amesimama juu mkeka, ulio tandikwa sakavuni, kwaajili ya kukalia, jibu lake lilimfanya Abdulazizi acheka kidogo.
“nitakuonyesha njia lahisi, maana huku ndio kuna njia, ya kuendea Mbendu” alisema Abdulazizi, wakati anatoka kwenda kufungua mzigo, toka kwenye baskari, ambao aliambiwa kuwa ni wakwake.
“kumbe huku ndio upande wa kuwenda nyumbani” alisema Zuleiya huku anamfwata Abdulazizi kule nje, na wakasaidia kufungua mifuko toka kwenye baskeri, na ndio wakati ambao, Abdulazizi aligundua kuwa.
Kuna mfuko mdogo sana, kati ya ile mizigo, una nguo chache za Zuleiya, kwamaana Zuleiya, alipanga kuja kulala kule mjini, Abdulazizi akumtilia mashaka, ila alihisi kuwa, ni kutokana na umbali, wa kutoka Mbendu, mpaka mjini.
SEHEMU YA 32
Walipomaliza kuingiza mifuko ya maindi, karanga, viazi vitamu, na maharage, “nataka nikaoge sasa, niwai kuswali” alisema Zuu, huku anatoa ijab kichwani mwake, na kuziacha nywele zake nzuri, zilizosukwa vyema kuonekana.
Inamsisimua Abdulazizi, ambae anaona kabisa hatua wanayofikia ni kubwa sana, maana kisheria nikwamba, aipaswi mwanamke kuonyesha nywele zake, kwa mtu asie mume wake.
“ok!, njoo nilionyesha bafu” alisema Abdulazizi, huku anaoka nje, Zuleiya akamfwata, chumba kilikuwa cha nje, hivyo kulikuwa na vyumba vilivyo jipanga, huku choo na bafu, vikiwa kwenye moja ya kona za mzunguko wa vyumba.
“sasa we jiandae kuoga, wacha nikutangulizie maji, kisha nitaenda kutafuta mboga” alisema Abdulazizi, alimwonyesha Zuleiya sabuni, kisha akachukuwa maji na kwenda kuweka nje, kisha yeye akaondoka zake, kuelekea upande wa madukani.
Hii yote ilikuwa ni kumpisha Zuleiya, apate nafasi ya kubadiri nguo zake, na kwenda kuoga, pia alitumia muda huo, kupitia msikitini, ambako aliswali alhasiri, kabla ya kwenda magengeni.
Kwa akili ya kuzaliwa, alikadilia dakika arobaini na tano, akarudi nyumbani, akiwa na mboga na viungo vya mboga hiyo, ambayo alibahatika kupata samaki mbelele, samaki wanaona patika ziwa nyasa pekee.
Nyumbani alimkuta Zuleiya, ameshaanza mapishi, yani alisha washa jiko la mkaa, na kuanza kusonga ugari, walitengeneza mboga, wakara ugari wao, huku Zuleiya akiwa amejiachia na kanga yake nzuri, ambayo alipewa na mama yake kwaajili ya safari ya mjini.
Mpaka Zuleiya anamaliza kuosha vyombo, tayari ilisha timia saa kumi na mbili, waliswali magharibi, kisha wakatoka pamoja, na kwenda kutembea mitaa ya barabarani, huku Abdulazizi akimwelekeza Zuleiya mitaa.
Usiku awakula sana, zaidi ya chai na mkate, chakura ambacho Zuleiya alikipenda sana, maana kule Mbendu, mkate ni moja ya bidhaa adimu sana kwa wakati huo.********
Naaaaam!, mara baada ya kumaliza kupata chai yao, wakaanza kusimuliana hadithi za ukweli na uongo, wakicheka kwa pamoja na kufurahi, huku redioni wakisikiliza mwaiza.
Lakini wakati wote wa maongezi, wote walikuwa wamechoka, huku kila mmoja, akimsubiri mwenzie, apande kitandani, asa Zuleiya, ambae alikuwa mgeni, alitegemea mwenyeji wake, angekuwa wakwanza kupanda kitandani.
Lakini waliongea mpaka mida ya saa tano za usiku, wakiwa pale kwenye mkeka, ndipo Zuleiya alipoanza kusinzia, “Zuu panda kindani ulale, unajuwa umechoka sana” alisema Abdulazizi, ambae alikuwa amevaa tishert na suruali.
“mbona wewe utaki kulala?” aliuliza Zuleiya, kwa sauti ya kivivu, yenye uchovu na usingizi, ilimshangaza sana Abdulazizi, ambae aliona wazi kuna jambo linataka kutokea muda wowote.
“utaweza kulala kitanda kimoja na mimi?” aliuliza Abdulazizi, huku anamtazama Zuleiya, ambae aliinamisha kichwa chini, na kukubali kwa kichwa, “ok!, tulale” alisema Abdulazizi, huku ainuka toka kwenye mkeka.
“basi zima taa, nivae kanga” alisema Zuu, kwa sauti ya chini yenye aibu, hapo Abdulazizi akaona atakama kulikuwa na matumaini ya kiwango cha hamsini, cha kuvumilia, lakini kwa kanga, ingekuwa shida kwake, na asingweza kuvumilia.
“kwanini usilale na gauni, tena kubaridi” alisema Abdulazizi, “nitachafua nguo zangu za kuswalia, zitakosa udhu, alisema Zuu, kwa sauti yenye aibu, kama vile kuna kitu alijuwa lazima kingetokea usiku ule.
Inamshangaza Abdulazizi, maana kwa kile alicho kiongea Zuleiya, kilimaanisha, lazima wange peana dudu, Abdulazizi akaona liwale na lile, akafanya kama alivyo ambiwa, akazima taa.
Hapo kwa mashida sana, akamwona Zuleiya anavua gauni, kisha akafwatia chupi yake, na mwisho akajifunga kanga, na kupanda kitandani, alafu ajilaza upande wa ukutani wakati huo tayari Abdulazizi alikuwa amesha simamisha dudu.
Nazani unajuwa nyumba ya mwanaume, ata kama alikuwa msafi sana, lakini lazima shuka zisingekuwa nyingi, hivyo pale kitandani, palikuwa na shuka moja iliyo tandikwa, na blangeti moja la kujifunika.
Taratibu na kwa oga wa hali ya aibu, Zuleiya alijifunika glangeti, ambalo Abdulazizi anae alikuwa amejifunika, kisha akageukia ukutani, kisha kikapita kimya kifupi, Abdulazizi akihisi kuwa Zuleiya amesha anza kusinzia tena.
Lakini wakati huo huo, akamwona anajigeuza, na kulala chali, “mbona umelala nasuruali?” aliuliza Zuleiya, kukweli swali ili lilimfanya Abdulazizi ajisikie noma, maana mtoto wakike anakanga kitandani, alafu yeye anasuruali.
SEHEMU YA 33
Ikabidi azuge na kijuani, “mh!, ningelala na bukta, lakini unaweza kujikuta imesha ingia” alitania Abdulazizi, utani ambao unaweza kusema, ulikuwa wakiwango cha mwisho kabisa.
Zuleiya anacheka kwa aibu, “ata ikiingia lakini mimi simchumba wako” alisema Zuleiya kwa sauti yenye aibu, sambamba na kicheko cha kuongeza upwiru, ilimsisimua sana Abdulazizi.
Hapo Abdulazizi akajikuta anamgeukia Zuleiya, “kwahiyo unataka nikuoe Zuleiya?” aliuliza Abdulazizi, kwa sauti tulivu, na Zuleiya anaitikia kwa kichwa, “mh!, kweli baba atokasilika akisikia hivyo?” aliuliza Abdulazizi kwa sauti ya mashaka.
“mbona nilisha mwambia, kuwa unataka kuniowa” alisema Zuleiya, na hapo nikama alimfanya Abdulazizi anusulike kuchanganyikiwa, maana kiukweli akumbuki kama walisha wao kuongelea jambo ilo.
“lakini situlisema atuzini mpaka tuowane” alisema Abdulazizi, akikumbusha maongezi ya zamani, “lakini nakuonea huruma wewe” alisema Zuleiya, kwa sauti iliyojaa aibu.
Kusikia hivyo, hakika Abdulazizi alivulia suruali ndani ya blangeti, na kuitupa chini, kisha akapeleka mkono kwenye matiti magumu ya Zuleiya, ambae nikama anataka kuzuwia, lakini anaachia.
“lakini nifundishe taratibu, mwenzio sijawai” alisema Zuleiya, ambae sasa aliamua kulala chali, huku mkono mmoja amezuwia usoni, na mwingine ameulaza kwenye kitambua.
Hapo Abdulazizi, akitumia uzoefu mdogo aliokuwa nao, akaanza kumchezea kila kona mschana, amba mwisho alianza kutoa malalamiko, “fanya tumalize, mwenzie ibirishi ameshika” alisema Zuleiya,.
Na ndipo Abdulazizi alipo panda juu ya Zuleiya, na kuanza kupekecha kunde kwa kwamwiko wake, huku akianza kuhisi mlenda pori, ukichuluzuka kwenye kitumbua cha Zuu.
Ilikuwa kazi nzito kidogo, mpaka wanamaliza mzunguko wa kwanza, asa baada ya Abdulazizi kuthibitisha kuwa, Zuu alikuwa ajawai kuonja dudu, shida hii ilijirudia alfajili, kabla awajapasha, maji ya kuoga, kwenye jiko la mafuta, kabla ya kuswali.
Baada ya kumaliza kuswali, awakuweza ata kukaa pamoja kwa muda mrefu, waliagana huku wakishindwa kutazamana usoni, kwa aibu walizokuwa nazo, kutokana na kile walicho kifanya usiku.
“kila kitu kipo ndani, nitaja baadae kunywa chai” alisema Abdulazizi, wakati anaondoka, njiani ukweli Abdulazizi, alijihisi mpya kabisa, ata wakati anatembea, huku anakumbuka kilicho tokea, alijihisi furaha na raha.
Kila mmoja pale gereji, aliona hali ya Abdulazizi, kiasi wakamtania, utani wa karibu na kweli, “ustadhi leo mwepesiiiii” alisema mmoja kati ya mafundi, Abdulazizi akujibu kitu zaidi ya kuishia kutabasamu.
Saa nne wakati wa kujaribu gari moja, lililo malizika kutengenezwa, alienda mpaka nyumbani, ambako alimkuta Zuleiya nae, akiwa mwenye furaha kubwa, amesha mwandalia chai, wakanywa kwa pamoja, kisha akarudi kazini.
Mida ya saa nane tayari alikuwa nyumbani, wakala kwa pamoja, kisha wakaamia kitandani, kwenda kutosha walipo paumiza jana, japo kadiri muda ulivyoenda, ndivyo Zuleiya alivyozidi kufurahia mchezo.
Siku tatu baadae, Zuleiya akiwa bado nyumbani kwa Abdulazizi, walienda Liwumbu, kwa kwa baskeri ya Zuleiya, ambako ikiwa siku moja baada ya kwenda kufanya manunuzi ya nguo na viatu vipya kwaajili ya Zuleiya.
Ukweli mama Abdulazizi, yani bi Khadija alifurahi sana, kusikia kijana wake amepata mwanake wa kumuoa, alimsisitiza apeleke barua, haraka wezekanavyo, ali wafunge ndoa, na kujilia vya halali.
“najuwa mmeshaanza kuzini, usije kumtia mimba binti wa watu, kabla ujamuoa” alisema mama Abdulazizi, ambae pia, aliongea vuzuri na mkwe wake, wakikaa pamoja jikoni, wakisaidiana kupika.
Na siku ile walilala Liwumbu, wakaondoka siku ya pili, ambako Zuleiya akikaa siku nyingine tatu, na siku ya nne, ikiwa imesha timia wiki, siku zote wakipeana dudu kama vile wamesha funga ndoa.
Abdulazizi akaongoza na Zuleiya mpaka mjini, akafanyia manunuzi ya vitu, vya kwenda navyo nyumbani, vitu mbavyo kule kijijini ni adimu kuvipata, kwamaana vinapatikana mjini pekee.
alinunua sukari chumvi, na vitu adimu kule kijijini, kisha mida ya saa nane mchana, Zuleiya akaanza safari, ya kurudi kijijini, akiwa na salamu, za wazazi wake, pamoja na zawadi chache, kwa wazazi wake na mdogo wake Abdulazizi.*********
Mida ya saa kumi za jioni, Zuleiya akiwa njiani, anakaribia njia panda kwa mwarabu, mara akaliona gari la mwarabu, linakuja elekea mjini, ata lilipofika karibu yake likasimama, na ndani ya gari, akamwona yule mschana mwarabu, alie wasaidia siku ile.
Mschana huyo, akuwa peke yake ndani ya gari, alikuwa na wengine watatu, yani mtoto mdogo wa kiume, mwenye miaka kama mitatu hivi, nae ni mweupe kama mama yake.
SEHEMU YA 34
Pia yule mwanamke wa siku ile, ya kujifungua mama zuu, yani sisi tunamfahamu kwa jina la Jamilah, na dereva wagari lile, ambae ni mweusi kama waafrika wengine.
“Asalam Aleykum Zuu” alisamia Shadya ambae alimkumbuka Zuleiya, “Waaleykum Salam dada Shadya, habari za masiku” aliitikia Zuleiya kwa sauti changamfu, “salama kabisa, vipi mama na mtoto wanaendeleaje” aliuliza Shadya, ambae alionekana anasafiri,.
“wanaendelea vizuri, awaishi kukutaja kwa kweli atuto kusaha” alisema Zuleiya, na hapo Shadya, akaonekana anaachia tabasamu lenye raha, huku anamtazama Zuleiya.
“wasalimie sana, ningekuja kumwona mtoto, tatizo Mbendu hakuna barabara ya kutokea huku” alisema Shadya, ambae kiukweli ni kama alidisha uzuri wake, na ukawa mara mbili.
“lakini naweza kuja kumleya umwone Abdulazizi” alisema Zuleiya, na hapo kila mmoja akamwona Shadya akishtuka na kumtazama Zuleiya kwa macho ya mshangao.
“he!, mtoto anaitwa Abdulazizi, nani alimpa jina ilo?” aliuliza Shadya kwa sauti ya mshangao, “baba ndie alie mpa jina ilo, ni jina la mchumba wangu” alisema Zuleiya, huku anacheka kwa aibu.
“hooo!, umepata mchumba Zuu, hongera sana” alisema Shadya, na kabla Zuu ajaongea, Shadya akaendelea, kwasasa mimi nasafiri, nawai ndege inaondoka saa kumi na mbili jioni, nikija tena inshallah, nitamwona mtoto” alisema Shadya.
Hapo wakaagana na huku Shadya akitoa noti ishirini za elfu moja moja, wakati huo zikiitwa tenga, au book, kutokana na umbo lake kubwa, “utampatia Abdulazizi” alisema Shadya, kabla ajaondoka zake.*******
Naaaaam!, kumi nambili za jioni, ndio mida ambayo, Zuleiya aliingia Mbendu, ambako alipokelewa na wazazi wake, kwa shahuku kubwa, tena akiwafanyia mshangao wa mshtukizo, kwa kuvaa gauni na viatu vipya, pamoja na ijabu yake.
Iliwashangaza kweli maana awakumpatia Zuleiya fedha yoyote, ila walijuwa fika kuwa amepata kwa Abdulazizi, ambae anamoyo wa kutoa, ata kwa mtu asie ndugu yake.
Japo walikuwa na shahuku ya kujuwa kilicho mfanya binri yake akae mwiki nzima mjini, na pia walikuwa na kiu ya juwa, alikuwa anaishi vipi, na kijana ambae ajaowa.
Shahuku hii alikuwa nae mama Zuu, kuliko ata baba Zuu, ata baada ya kumaliza kula, yani chakula cha jioni, Zuleiya aligawa zawadi alizopewa, kwaajili ya wazazi wake, na mdogo wake Abdulazizi.
Pia aliwapa salimu za Abdulazizi, na pia akusahau ku mkabidhi mama yake, tsh elfu ishirini, toka kwa Shadya, pamoja salamu zake kwao, pia aliwapa salamu toka kwa mama yake Abdulazizi, akiwasimulia kuwa walienda kumtembelea.
Mpaka hapo waligundua kuwa, katika wiki nzima aliyokaa mjini, binti yao alikuwa ameenda, mpaka kijijini kwa kina Abdulazizi, kumsalimia mama yake, hivyo kulikuwa na uwezekano wa jambo lolote kutokea.
Hivyo basi mzee Abdallah, akamwagiza mke wake, akae na Zuu, amuhoji kwa kina, kama kuna chochote cha kujiandaa, na mama Zuu ambae ata asinge ambiwa na mume wake, lazima angefanua hivyo, akamfwata Zuu chumbani.
“aya niambie mwanangu, siku zote ulikuwa unalala wapi?” aliuliza mama Zuu, kwa sauti yanye mashaka, “sinilikuwa nalala nyumbani kwa Abdulazizi” alijibu Zuleiya, jibu ambalo, nikama alikuwa anazuwia, asiendelee kuhojiwa.
“lakini kuna usalama kweli, ujazini mwanangu?” aliuliza mama Zuu, kwa sauti ile ile, hapo Zuu akatazama chini, akishindwa kujibu swali ilo, mkao ambao mama Zuu aliutilia mshaka, na kushuku jambo.
“nakuuliza wewe Zuu, ujazini na Abdulazizi, maana umekaa wiki nzima na mwanaume?” aliuliza mama Zuu, kwa sauti ya chini, “lakini mama, kwani kuna ubaya kukaa kwa mwanaume anaetaka kuniowa” aliuliza Zuu, kwa sauti ya kulalamika.
“kwani amekuambia, anataka kukuowa?” aliuliza mama Zuu, Zuleiya anaitikia kwa kichwa, “amesema analeta lini barua?” ajauliza, ila mama yake amemwambia aniowe haraka, asije akanipa mimba kabla atujaowana” alijibu Zuleiya.
Hapo mama Zuleiya, alishikwa na kicheko, “mwanangu umeshikwa kweli kweli, yani mpaka mama wawatu, amejuwa mnacho kifanya, au mlilala chumba kimoja mlipoenda kumtembelea” aliuliza mama Zuu, akiwa anacheka kicheko cha chini chini.
SEHEMU YA 35
Zuleiya nae akacheka, “sasa mama, kwani mtu na mchumba wake wanalala tofauti?” aliuliza Zuleiya, huku wote wanacheka, “aya mwanangu, ongeza dua, waje kukuchumbia” alisema mama Zuu, kabla ya kufunga kikao, na kwenda kumweleza mume wake.******
Naaaaaam!, zilipita wiki mbili, lakini siku ya ijumaa, katika wiki ya mwisho ya mwezi wa saba, wakati mzee Abdallah, anaswalisha swala ujumaa, akagundua kuwa, ndani ya msikiti kuna watu wawili, ambao ni wageni kabisa, mmoja akiwa nikijana, na mwingine akiwa ni mwanaume wamakamo.
Achana na sura zao kuwa ngeni, maana waumini, walikuwa wanafahamiana, ila pia uvaaji wao wa kanzu mpya, za kupendeza uliwa tambulisha kuwa, wawili awa walikuwa ni wageni.
Baada ya kumaliza ibada, ukaja wakati wakusalimiana na wale wageni, ambao walijitambulisha kuwa, ni wageni wake, nae akawakaribisha na kuwataka waende nyumbani kwake.
Ilikuwa ni ghafla, lakini mke wa bwana Abdallah, akishirikiana na binti yake wakaandaa chakura kizuri, huku akichinjwa kuku, na chele ukapikwa, maana wakati huu vyakula vingi vinapatikana.
Wakati huo bwana Abdallah na wageni, aliokaa nao chini ya mti wa muembe, wakiongea jambo la Baraka, jambo la barua ya posa, toka kwa kijana Abdulazizi kwa binti yao Zuleiya.
Walitwa majirani wawili watatu, na ndugu waliopo karibu, pia akaitwa Zuleiya mwenyewe, ambae alikuwa na furaha isiyo kifani, alithibitisha kuwa anamtambua chumba, na amekubari kuchumbiwa nae.
Kiukweli, hapakuwa na ugumu wowote, barua ikapokelewa na mahari ikatajwa, ikiwa ni mswala wa kuswalia, ndiyo mahari aliyo aliitaja Zuleiya mwenyewe.
Baada ya hapo ikapita wiki moja, Abdulazizi akaja na watu wake, kuja kufunga ndoa, safari hii, wakipitia barabara ya mzunguko, ambayo ilipitia Namtumbo, kuja Mbendu.
Baada ya kumaliza kufunga ndoa, wakarudi mjini, ambako Abdulazizi na Zuleiya, walianza maisha mapya, kama mke na mume, na ilivyo bahati, maisha yalikuwa mazuri.
Miezi mitatu baadae, Zuleiya alipata ujauzito, na baadae akajifungua mtoto wa kiume, wakamwita Abdullratiff, na nyumba ikazidi kuchangamka, huku wakiama pale walipokuwa wanaishi mwanzo, na kwenda kupanga nyumba nyingine, yenye chumba na sebule.******
Naaaaam!, licha ya maisha kuwa mazuri, kwa kufanya kazi kwa juhudi, na kuagiza fedha kwaajili ya kilimo kule kijijini, kiasi cha kwamba, awakukosa chakula, na fedha ya kijikimu na kuwahudumia wazazi wa pande zote mbili.
Lakini Abdulazizi, bado alikuwa na ndoto ya kwenda kufanya kazi jijini Dar_es_salaam, hivyo akuacha kutunza fedha kwaajili ya kuanzia maisha huko Dar es salaam.
Mwaka 2001, mwezi wa nne, ndio wa kati ambao, Abdulazizi aliondoka Songea, kuelekea Dar es salaam, akiwaacha mke wake Zuleiya, na mtoto Ratiff kwa mama yake, yani kwa bi Khadija.
Abdulazizi akuwa ameenda kichwa kichwa huko Dar_es_salaam, ila alipewa mipango na mtu mmoja, ambae mwazo alifanya nae kazi pale gereji, ambae aliongea nae na kumtafutia sehemu ya kufanya kazi.
Hivyo Abdulazizi alifika Dar_es_salaam na kuanza kazi mara moja, kwenye gereji moja, maeneo ya mbezi, barabara ya chini, yani karibu na stendi ya malamba mawili.
Mwanzo alifikia kwa rafiki yake huyo, lakini baada ya iezi miwili, yani mwezi wa sita, alibahatika kupanga nyumba nzuri, maeneo ya kwa hakimu, ambapo alipata chumba kimoja.
Abdulazizi alifanya kazi kwa juhudi, huku akinunua vitu vya ndani, kama vile, kitanda tv na vifaa vya kupikia, kabla mwezi wa tisa, kutuma fedha kwa mke wake, na mtoto, ili waje Dar_es_salaam.
Ilikuwa ni baada ya muda mrefu bila kuonana, wanandoa awa walikutana tena, na kuendelea na maisha yao yenyefuraha tele, sasa wakiwa na mtoto wao, ambae alizidi kukuwa.
Mwaka 2002, Abdulazizi alipata nyumba nyingine, tena ni nyumba nzuri sana, yenye chumba na sebule, japo ilikuwa mbali kidogo, na gereji, lakini palikuwa na utulivu, na nyumba ilikuwa nzuri, alafu kodi yake ilikuwa ndogo.
Maisha ya pale yalikuwa mshanganyiko, wakati maisha yao binafsi yalikuwa mazuri, na yenye amani, lakini maisha na matukio ya majirani, yalimshangaza Zuleiya ambae alikuwa anashinda nyumbani.
Kwanza kabisa, kulikuwa na mpangaji mwenzao wakike, aliekuwa anakaa kwenye ile nyumba kubwa, huyu alikuwa ni mwanamke, wa miaka kama ishirini na nne hivi, alikaribiana umri na Abdulazizi.
SEHEMU YA 36
Yeye alikuwa anaishi na mtoto wake wakiume, mwenye kulingana umri na Abdullratiff, ni mwenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, huyu ndie alie mshangaza sana Zuleiya, kwa matendo yake.
Yeye alikuwa anawapanga wanaume kwa utaratibu wa kutahalamu, maana asubuhi ya saa nne, kuna kijana mmoja, alikuwa anafika pale, siku moja moja, na kila akifika tu, uwa wanajifungia ndani, wanapeana dudu.
Baada ya hapo, mida ya saa sita, angefika mwanaume mmoja mtu mzima, ungesema ni baba yake, au mjomba baada ya mama yake kuzaliwa, huyu ni mwalimu wa shule ya msingi, iliyopo jirani na pale.
Maea nyingi yeye alikuwa anakuja kwaajili ya kula, ila baadhi ya siku, ungesikia miguno ya mapenzi, ilimkosesha raha Zuleiya, ambae mida hiyo uwa anakuwa anaswali.
Mara tu anapotoka anaingia kijana mmoja, ambae ni muuza vyombo, vya kutembeza mitaani, yeye aliingia na vyombo vyake, kisha angekaa mle ndani kwa lisaa lizima, kisha angetoka, huku mwanamke yule, ambae alimpokea akiwa amevaa gauni, na kumuaga amejifunga kitenge.
Mida ya saa kumi na moja mpaka saa kumi na mbili, angeingia mwanaume mmoja, nae ni mtu mzima, huyu alikuwa anakuja na gari lake aina ya suzuk, yeye ndie baba wa mtoto wa huyu dada.
Huyu alikuwa anajifungia ndani mpaka saa mbili za usiku, kisha anaondoka zake, na hapo ni kama alikuwa anasubiriwa aondoke, maana azipiti ata dakika tano, ungemwona kijana mmoja mdogo, anaingia pale chumbani.
Huyu kijana mdogo, ukiachilia kuja usiku huu, ila pia kikawaida, akuwa na muda mahalumu, yeye ni mwanafunzi wa chuo cha sayansi ya computer, siku ambazo akuenda chuo, alishinda kwa dada huyu, paka alipo ambiwa apishe mgeni.
Ila siku zote, uwa anakuja mida ya saa mbili za usiku, na kutoka asubuhi, akienda kwenye nyumba ambayo, aliyopanga na wanafunzi wenzake, kwakifupi ni mpango ambao ulishangaza kidogo.
Japo unaweza kusema, afadhari na mwanamke mwingine, ambae yeye alishangaza kwa namna ya peke yake, huyu alikuwa anaishi peke yake, pale nyumbani, japo alikuwa na mwanaume wake, ambae alikuwa anamtembelea kila siku mchana.
Lakini anaweza, akakaa wiki mbili adi tatu, akalala siku moja, au mbili mpaka tatu, kisha angeondoka zake, na kukaa tena wiki kadhaa, bila kuja kulala kwa mwanamke huyu, ambae umri wake ni kama wa miaka 34 hivi.
Kiukweli usingeweza kujuwa, jambo la kushangaza, kwenye penzi la mwanamke huyu, na mwanaume wake, ambae wafukunyuku, wanasema ana wake wawili wa ndoa.
Ukweli uliopo wazi ni kwamba, penzi la wawili awa, lina umri wa mwaka na miezi nane sasa, lakini chanzo kinasema, mwanaume huyu, ambae analipa kodi, na kugharamia kila kitu, kinacho muusu mwanamke huyu.
Alimwambia kuwa anataka kufunga nae ndoa, awe mke wa tatu, lakini mwanamke alikataa, alisema awezi kuolewa mke wa pili au watatu, lakini alikubari kuwa mwanamke wa siri, kwa tafsiri nyepesi ni mchepuko.
Matukio yalikuwa mengi, ambayo kwa Zuleiya na Abdulazizi yalikuwa ni mageni, lakini kuanzia mwezi wa tano, wa mwaka 2002, kidogo wawili awa walianza kuyumba kiuchumi.
Hii ilikuwa ni baada ya eneo ambalo, ilikuwepo garage aliyokuwa anafanyia kazi Abdulazizi, iliamishwa kupisha ujenzi wa bar, baada ya mwenye eneo kuamua kubadirisha matumizi.
Kwanza iliwachukuwa mzima, kupata eneo jingine kwaajili ya gareji, ata walipo lipata maeneo ya kibamba, sehemu ambayo ilikuwa na gareji kadhaa, na woe ni wenyeji, ambao walikuwasha zoeleka.
Hivyo basi, waliweza kukaa kutwa nzima, bila kufanya kazi, na ata walipopata kazi, iliwachukuwa vigumu ana, kugawana fedha ile, maana ilikuwa ni fedha kidogo.
Hali hiyo ilimlazimu Abdulazizi, kutumia fedha ya akiba aliyo iweka kwaajili ya matumizi mengine, na ukichukulia ni kwamba, huku Dar_es_salaam, kila kitu alikuwa ananunua.
Ni tofauti na Songea, ambako, aliletewa chakura, toka kijijini, kama siyo Liwumbu, kwa mama yake, basi wangeletewa, kutoka Mbendu, kwa wazazi wa Zuleiya.
Lakini kwa huku Dar_es_salaam, iliwalazimu kununua kila kinacho itajika, kasoro pumzi waliyo ivuta tu, hivyo walifikia hatua ya kushindwa kukamilisha milo mitatu, japo walihakikisha, Ratiff anapata kuanzia chai, chakura cha mchana na jioni.
Lakini Zuleiya mwenyewe, kama angebahatika kunywachai, basi tungeonana tena kwenye chakura cha jioni, ambacho wangeshiriki wote watatu, pamoja na mume wake Abdulazizi, ambae mchana ilikuwa siri yake.
Mbaya zaidi ni pale walipotakiwa kulipa kodi ya nyumba, yani tsh laki mbili na laki nane, ikiwa kodi ya miezi sita, kuanzia mwezi wa saba, licha ya kuwa walikuwa wanalifahamu jambo ilo.
Lakini walikaa mpaka walipokuja kukumbushwa na mama Tony, ambae ni mpangaji mwenzao, aliekuwa amepewa mamlaka ya kusimamia nyumba ile, maana mwenye nyumba alikuwa akai pale.
SEHEMU YA 37
Na kwa sasa, mwenye nyumba hii, ambae ni mwanamke, alikuwa amebakiza miezi michache, kumaliza masomo yake ya udoctor, nchini india, hivyo alikuwa anatarajia kurudi nchini, miezi mtatu baadae.********
Turudi miaka miaka saba nyuma, akiwa amebakiza wiki moja tu, kuanza mitihani ya mwisho, ya kidato cha sita, ilibainika Shadya anaujauzito, wenye miezi minne.
Lakini licha yakuwa, msimamizi wa wanawake, katika shule ile ya waschana, kutunza siri, na mwachia Shadya, afanye mitihani yake ya mwisho, ya kumaliza kidato cha sita.
Lakini msimamizi wa wanawake alitarifu bwana Radhaq, juu ya ujauzito wa binti yake, taarifa ambayo ilimshtua sana, bwana Radhaq na mkwe wake, mwanzo walizania kuwa, mwanaume alie mmimba binti yao, alikuwa huko Dar_es_salaam.
Lakini walichukukia na kushtushwa zaidi, asa bwana Radhaq, pale alipo gundua ya kuwa, muhusika ni Abdulazizi, mtoto wa mfanyakazi wao wa ndani, ambae anamaisha ya chini kabisa.
Hakika kama siyo, kwa msaada wa mama Shadya, basi siku ile, mama Abdulazizi alikuwa anapoteza maisha, kwa risasi toka kwenye shot gun, ya kuwiandia ya bwana Radhaq.
Hakuna eliejuwa kuwa Shadya amebeba ujauzito, zaidi ya mzee warabu mwenyewe, na mke wake mama Shadya, siyo wa fanyakazi au watu wa karibu, na ilivyo bahati nzuri au mbaya, ata Shadya mwenyewe akupajuwa kijijini kwa kina Abdulazizi.
Hivyo basi, ulipita mwaka mmoja na miezi kumi na mi nane, pasipo Shadya kufika Songea, ata alipofika kwa mara ya kwanza, akiwa mwaka wapili shuo cha udaktari muhasi, hakuja na mtoto wa kiume aliejifungua.
Ndio wakati ambao Shadya au mama Shafii, aliwaomba wazazi wake, wamluhusu akakutane na Abdulazizi, amjulishe kuhusu mtoto wake,
Lakini mzee mwarabu, alikataa katakata, akisema kuwa, awezi kuluhusu mjukuu wake, amtambue Abdulazizi, kuwa ndie baba yake, hii siyo kuhusu hasiri, rangi au kabira,.
Hii ilikuwa ni sababu ya umasikini na ufukara wafukara wa familia ya Abdulazizi, ambao kiukweli mama yao, ambae mwanzo, alikuwa anafanya kazi nyumbani kwa mwarabu, ndie alikuwa mwenye uafadhari wa kifedha.
Baada ya kugonga mwamba, huku akiwa bado anampenda sana Abdulazizi, yani baba wa mtoto wake, Shadya aliondoka kuelekea mjini, ili akapande bus la mapema saa kumi na mbili, kuanza safari ya kuelekea jiji Dar_es_salaam.
Lakini akiwa njiani, ndipo alipokutana na wakina Zuleiya, ambao walikuwa katika hali ngumu sana, nazani msomaji unakumbuka lile tukio, la mama Zuleiya kujiungua barabarani, huku mua inanyesha.
Nae aliwasaidia na kuwafikisha mjini hospital, akiwaachia fedha kidogo, pamoja na kumpatia Zuleiya gauni la kubadiri, na ndio wakati ambao Zuleiya alitoa ahadi ya kuwa ambayo mpaka sasa Shadya anaikumbuka.
“najuwa sina kitu ambacho, naweza kukupa, kikawa malipo ya hiki ulicho tufanyia, lakini siku ukiitaji kitu ambacho ninaweza kukusadia, nitakupa bila kusita” hiyo ilikuwa ahadi ya Zuleiya kwa Shadya.******
Shadya akuacha kuja Songea, akitarajia siku moja, angekutana na Abdulazizi, ambae alijuwa fika yakuwa, ata kuwa amesha mkatia tamaa, kutokana na kile ambacho kilitaka kumtokea mama yake, yani kupigwa risasi.
Lakini isivyo bahati, Shadya akupata nafasi ya kukutana na Abdulazizi wala mama Abdulazizi, yani bi Khadija, na bahati mbaya kwake, siyo mama yake tu, ata mfanyakazi mpya, yani Jamilah, akuwa anakijuwa kijiji alicho tokea bi Khadija.
Hakika Shadya aliumia sana, mambo mawili yayo muumiza Shadya, ni kushindwa kuweleza Abdulazizi kuhusu mtoto, na kulikosa penzi la Abdulazizi, kitu ambacho Shadya kilimuumiza mara dufu.
Lakini licha ya yote, Shadya akukata tamaa, na kujiwekea ahadi, ya kuwa, ato tembea na mwanaume mwingine yoyote, kwa kuamini ya kuwa, atotokea mwanaume ambae atampenda yeye na mtoto wake.
SEHEMU YA 38
Lakini katika ahadi hiyo, Shadya alijiampia kuwa, endapo aya kutana tena na Abdulazizi, yupo tayari kuwa nae, ata kama Abdulazizi atakuwa amesha owa mwanamke mwingine.
Miaka miwili na nusu baadae, siku moja Shadya alipokea simu toka kwa mama yake, akaambiwa kuwa, baba yake amepata ajari mbaya ya gari, tatizo ni kwamba.
Baba yake licha ya kupoteza damu nyingi kupitia jelaha, la mguu wake, ila pia anatakiwa kufanyiwa upasuaji kwa haraka sana, hivyo inaitajika damu ya group A+, ambayo aipokei damu nyingine.
Na mbaya kuliko mbaya zaidi, mpaka sasa kuna mchangiaji aliepatikana, yani licha ya kutangaza dau la fedha nyingi, kiasi cha, tsh million moja, lakini kila aliejitokeza, damu aikuendana.
Shadya ambae alikiwa anajuwa kuwa group lake la damu ni A+, aliomba luksa chuoni, na kwenda uwanja wandege, lakini wakamwambia kuwa hapakuwa na ndege ya kwenda Songea, na pia ndege za kukodi tayari zilikuwa na hoda.
Hivyo Shadya, akiwa amekata tamaa ya kumwokoa baba yake, akakata tikit ya bus, la siku ya pili asubuhi, kuelekea Songea, maana akuwa na uwezo wa kuendesha gari mpaka Songea, na pia awakua na gari ambalo lingeweza kusafiri mpaka Songea kwa haraka.
Lakini Shadya akiwa amekaa nyumbani kwao upanga, amekata tamaa ya kumwokoa baba yake, mara akapigiwa simu na mama yake, ukweli simu ile ilimshtua sana Shadya, maana lihisi ni taarifa mbaya.
Lakini alipoipokea, akakutana na sauti yenye furaha, ya mama yake, “mwanangu tumepata mchangiaji, na sasa baba yako anafanyiwa operation” kiukweli, ilikuwa habari njema kwa Shadya pia.
Siku ya pili alisafiri kwa utulivu, na alipofika jioni, akaenda moja kwa moja hospital, ambako alimkuta baba yake, akiwa anaendelea vyema kabisa, “Shadya, uliwai kukutana na Abdulazizi ukamweleza kuhusu Shafii?” aliuliza bwana Radhaq, baada ya kumaliza kusalimiana.
Swali hili lilimshtua sana Shadya, alihisi baba yake amekata tamaa ya maisha ya baada ya kuumia mguu, ambao ulikuwa unaendelea vizuri, pia alihisi pengine ni mtego.
“sijakutana nae, kwani umesahau kuwa uliniambia nisimwambie?” aliuliza Shadya, huku anajaribu kujichangamsha, maana ata aliposikia baba yake akimtaja Abdulazizi, ni kama alimkumbusha maumivu yaliyo pita.
“mwanangu kuhusu kukuzuwia usikutane na Abdulazizi, nilikosea sana” alisema mzee Radhaq, na hapo Shadya, alimtazama mama yake, kama anamwuliza kulikoni.
Na kabla ajamrudia baba yake na kumwuliza, baba yake akaendelea, “ni kijana watofauti sana, sikutegemea kuwa licha ya yote, angefanya iki alicho kifanya” alisema tena mzee Radhaq.
Hapo Shadya akakosa subira, “kivipi baba, mbona sikuelewi, kwani mmekutana Abdulazizi?” aliuliza Shadya, akionyesha shahuku ya hali ya juu, ya kutaka kusikia mwisho wa maelezo ya baba yake.
Mzee Radhaq, akamtazama mke wake, yani mama Shadya, ambae muda wote alikuwa anatabasamu, huku machozi yanamdondoka, mama Shadya anatikisa kichwa cha kukubari, ya ni juu chini.
“yeye ndie alienitolea damu” alisema mzee Radhaq, “weeee!, inamaana Abdulazizi kuja hapa?” aliuliza Shadya kwa mshtuko na mshangao, safari mama yake ndie alie jibu.
“ndiyo mwanangu, tena alikataa malipo tuliyo ahidi kwa mtu atakae toa damu” alisema mama Shadya, huku anatanua mikono yake na wakakumbatiana, “niambie kuwa, ulimweleza kuwa nina mtoto wake” alisema Shadya, huku anamtazama mama yake usoni.
Hapo mama Shadya akatazama chini, kwa namna ya kunyongea, “akunipa nafasi, aliondoka mara tu baada ya kumaliza kutoa damu” alisema mama Shadya, kwa sauti iliyopoa.
Shadya anamtazama baba yake, “kwahiyo baba, umeridhia ni mweleze Abdulazizi, kuhusu mtoto wake?” aliuliza Shadya, kwa sauti ya upole, yenye kuomba na kubembeleza.
“siyo kuhusu mtoto tu, ikibidi muowane, na kama ameshaowa unaweza kuolewa mke wapili, uwezi kumpata tena mwanaume kama yule, katika kizazi iki chenye tamaa, na mambo ya ajabu” alisema mzee mwarabu.
Jibu la baba yake, lilimfanya Shadya aachia tabasamu pana lafuraha, “asante baba, na kuahidi, nitafanya hivyo” alisema Shadya, huku vimachozi vikimlenga, katikati ya furaha aliyokuwa nayo,.********
Lakini basi, luksa na kibari ridhaa, aliyo ipata toka kwa wazazi wake, aikusaidia kitu, maana Shadya na wazazi wake waliondoka siku ilivyofuata kuelekea Dar_es_salaam.
Maisha yakaendelea, huku Shadya mara kwa mara, akienda Songea, kutazama maendelea ya mashamba na kazi nyingine, ikiwa pamoja na kuwalipa mishara wafanyakazi, ndipo safari moja akakutana na Zuleiya.
Katika maongezi mafupi na Zuleiya, ndipo Zuleiya alipo mweleza Shadya ya kuwa, anamchumba anaitwa Abdulazizi, hii nayo, ilimshtua sana Shadya, ambae nikama alikuwa, ametoneshwa alipoumizwa.
SEHEMU YA 39
Kizuri ni kwamba, Shadya akupata hisia za kuwa, Abdulazizi wa Zuleiya ndie Abdulazizi wake, hivyo akaendelea na maisha yake, huku kila anapokuwa mjini, akuacha kuwa makini, kuona kama angemwona Abdulazizi.
Lakini aikuwa bahati yake, siku zilienda bila kumwona Abdulazizi, na mtoto Shafii alizidi kukuwa kwa kimo na ufahamu, huku mama uake akiendelea kusoma na kumtafuta baba yake.
Juhudi zilitaka kuzaa matunda mwaka 2001, wezi wa saba, siku chache kabla kabla, Shadya ajasafiri kwenda nchini india, ni wakati ambao, Shadya alipata bahati ya kuifahamu gereji ambayo, Abdulazizi alikuwa anafanyia kazi.
Lakini isivyo bahati, alipofika pale akaambiwa, kuwa Abdulazizi alikuwa ameondoka, kuelekea Dar es salaam, ambako anaishi sasa hivi, hakika roho ilimuuma sana Shadya.*
Naaaam!, mwaka 2001, mwezi wa nne, Shadya alifungua hospital yake kubwa maeneo ya kimara, huku ikiwa ni mwaka mmoja, toka alipo kailisha nyumba kubw aya kupangisha, maeneo ya malambamawili.
huku yeye mwenyewe akiwa anaishi upanga, na wazazi wake wakiwa wanaishi Songea, kwamaana tayari mzee Radhaq, yani mzee mwarabu, alikuwa amesha pona mguu wake, japo alikuwa anatembea kwa msaada wa fimbo.
Mwaka wa elfu mbili, mwezi wa sita alienda india kwenye chuo cha sayansi na Tinah, kwa mafunzo ya miaka miwili, ya maswala ya uzazi, kwa wanaume na wanawake.
Mwaka 2002, mwezi wa saba, akiwa anakaribia kurudi, toka india, alipiga simu kwa mama Tony, kuuliza hali ya wapangaji, shida zao, na aekuulizia kama makusanyo ya kodi yanaendaje.
“kuna yule mpangaji, alie amia mwezi wa kumi na mbili, kodi yake iliisha mwezi wa sita, mpaka leo ajalipa kodi” alisema mama Tony, “yupi ni yule, au ni yule alie panga nyumba kubwa?” aliuliza Shadya.
“ndiyo mume wake anaitwa Abdulazizi, na mke wake anaitwa Zuleiya” alieleza mama Tony, akitegemea kupewa maagizo ya kuwaondoa, lakini hii inamshtua Shadya, ambae anakumbuka kuwa.
Shadya wa Mbendu, alisema mchumba wake anaitwa Abdulazizi, “ni mwenyeji wawa wapi huyu Zuleiya?” aliuliza Shadya, ambae mashaka yake, yalikuwa ni kwa Zuleiya wa Mbendu.
“ni mwenyeji wa Songea, kama sikosei, ila inaonyesja Dar es salaam ni wageni?” alisema mama Tony, ambae katika kuishi kwake kwenye nyumba hii, akujuwa kama Shadya ni mwenyeji wa Songea, wengi walizania ya kuwa ni wenyeji wa Zanzibar.
Jibu la mama Tony, nilizidi kumpa mashaka Shadya, ammbae anahisi kuwa anamfahamu Zuleiya, “sawa, mpe muda tuone, pengine anashida inayo kabiri” alisema Shadya, japo moyoni mwake alikuwa na maana nyingine kabisa.*****
Naaaaaam!, mwezi wa tisa mwanzoni, Shadya alirudi nchini, wakati huo mtoto wake Shafii, alikuwa anasoma darasa la kwanza, shule ya msingi upanga, na walikuwa wanaishi, hapo hapo upanga.
Siku ya pili tu, mara tu baada ya kufika nchini, Shadya alienda kwenye nyumba yake kule malamba mawili, mtaa wa kwampemba, wakati huo barabara ile ilikuwa ya vumbi.
Ilikuwa mida ya saa nne, za asubuhi, siku ya juma nne, moja kwa moja Shadya alikaribishwa na mama Tony, baada ya kusalimiana, akamwambia akamwitie mpangaji ambae alijalipa kodi.
“lakini atakuwepo mke wake, mama Abdullratiff, maana mume wake, atakuwa ameenda kwenye kazi zake, za gereji” alisema mama Tony, kabla ajaenda kumwita mke wa Abdulazizi.
Kiroho kikiwa kinamdunda Shadya, mara akamwona Zuleiya akiwa anakuja huku amevaa baibui lake jeusi, na ushungi wa wake, ulio mfanya aachie viganya vya mikono na uso pekee, akiwa ameongozana na mtoto wa miaka miwili au mitatu.
Kwanza wote walipo onana tu, Zuleiya aliachia tabasamu, “Asalam Aleykum” alisalimia Zuleiya, lakini Shadya akajikausha kama hamjuwi, akamtazama mama Tony.
“mama Tony, ebu tupishe kidogo” alisema Shadya, kwa sauti kavu, kiasi cha kumshangaza Zuleiya, ambae siku zote alizowea kumwaona Shadya ni mschana mchangamfu mwenye upendo wa hali yajuu.
Mama Tony anapotoka nje, na kupotea kabisa, Shadya anamtazama Zuleiya, “Waleykum Asalam Aleykum Zuleiya, umekuja lini Dar es salaam?” aliuliza Shadya, kwa sauti ya chini, yenye urafiki ule ambao, Zuu anaufahamu.
SEHEMU YA 40
“mwaka sasa, ila hapa tuliamia mwezi wa kwanza” alijibu Zuleiya, ambae ni kama bado alikuwa ajaamini, kama urafiki umerudi au maigizo mafupi, Shadya anamtazama mtoto Shafii.
Kisha anamtazama Zuleiya, “uliniambia umeolewa na mwanaume anaitwa Abdulazizi, bado hupo nae?” aliuliza Shadya, huku anamtazama Zuleiya kwa umakini mkubwa.
Zuleiya anacheka kidogo, “ndio nipo nae, tena ndio baba wa huyu mtoto” alisema Zuleiya, Shadya anamtazama tena Abdullratiff, kisha anamtazama Zuleiya, “mh!, mlikutana vipi?” aliuliza Shadya.
Kwanza Zuleiya alicheka kidogo, “mh!, kwa kweli, ni hadithi ndefu kidogo, ila ilinilazimu kumshika aswa, maana sikuona mwanaume mwingine kama yeye” alisema Zuleiya, huku anacheka cheka.
“mama yake anaitwa nani?” aliuliza Shadya, ambae alihisi kabisa, albakiza hatua chache kumfikia Abdulazizi, au baba wa mtoto wake Shafii, “anaitwa Khadija” alisema Zuleiya ambae ni kama alikumbuka kitu.
“alafu, utakuwa unamfahamu, maana mama Abuu, aliniambia kuwa, aliwai kufanya kazi kwenu” alisema Zuleiya, hapo Shadya akaachia tabasamu pana, “ok!, nisimulie kwa kifupi, ulivyo kutana na mmeo” alisema Shadya.
“alitusaidia sana, tukiwa hospital wakati ule, lakini akuonyesha nia ya kunichumbia, alisema kuna mwanamke aliwaikuwa nae, alionyesha bado anampenda” alisimulia Zuleiya, ambae akuishia hapo.
“nilipoona hakuna dalili ya kunichumbia, niliamua kumfwata mjini, nika kaa kwake wiki nzima, ndio akaja kunichumbia” alisimulia Zuleiya, na hapo Shadya akatulia, kama anae tafakari jambo.
Kisha akamtazama tena Zuleiya, “kwasasa anafanya kazi gani hapa Dar es salaam?” aliuliza Shadya, “anafanya kazi ya gereji, lakini wameamisha gereji yao, hivyo siku hizi apati fedha kama zamani, mpaka natamani turudi Songea” alisema Zuleiya kwa sauti ya kulalamika.
“ok!, basi nyie endeleeni kukaa, nimewasamehe kuhusu kudi hii, kwakuwa mnapitia wakati mgumu” alisema Shadya, ambae pia kabla awajaagana, alimpatia Abdullratiff, tsh elfu hamsini, ama hakika wakati hule, ilikuwa fedha nyingi sana.
“nilisahau kukubebea zawadi, mama atakununulia baadae” alisema Shadya wakati anampatia fedha hiyo, ilimshangaza sana, Zuleiya, ambae alishindwa kuuliza, maana toka kusamehewa kodi, mpaka kupewa elfu hamsini, halikuwa jambo dogo.
Kitu ambacho mama Ratiff akukijuwa, ni kwamba, Shadya alimua kuwasadia fedha hiyo, ili iwasadie kwa siku mbili tatu, maana alisha ona hali ngumu waliyo nayo.
Shadya pia alimwambia mama Tony, kuhusu kuwaacha wakina Zuleiya, waendelee kukaa, ilimshangaza mama Tony, ambae alishidwa kuuliza, kulikoni, mpaka awaaachie kodi, ya tsh lakini mbili na themanini.********
Naaaaam!, jioni ya siku ile, Abdulazizi aliporudi toka kwenye iangaiko, akiwa mnyonge kweli kweli, alishangaa kusikia arufu ya wali na samaki, ikitokea ndani ya chumba chake.
Ilimshtua sana Abdulazizi, ambae siku ile alirudi bila fedha, alifikilia kuwa, vipi kama akiba ya fedha waliyo nayo, itaisha, wangeishije kwa siku za usoni, ukichulia ni kwamba, kilo moja ya mchele, ni sawa na kilo nne za unga.
“mke wangu, kwanini umetumia fedha kupika chakura icho, na huku unajuwa kuwa, hatuna fedha humu ndani?” aliuliza Abdulazizi, ambae alizuwia hasira kwa mke wake, ni kawaida yake kuongea kwa busara.
INAENDELEA


