MLENDA WA PORINI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 21
ILIPOISHIA…
Siku ya pili, walianza kwa kazi za kutengeneza giri la pili, nalo lilikuwa ni land rover mia na tisa, wakifunga vifaa ambavyo bwana Radhaq alikuja navyo toka Dar_es_salaam alikokuwa ameenda.
Endelea…
Kwakifupi hiyo ndio ilikuwa ratiba, ya kila siku, na pia Abdulazizi na Shadya walipata muda wakucheza pamoja, walipoona hakuna anae wafwatilia wakatafuta sehemu ya kujificha na kufanya walicho kianzisha.
Wakati wa mwisho wa likizo, bwana Radhaq aliwachukuwa wote wawili, na kwenda nao mjini, ambako aliwanunulia vifaa vya shule, ikiwa na nguo mpya za shule kwa wote wawili.
Na ata shule zilipofunguliwa, wote wakatawanyika na kwenda mashuleni, huku bwana Radhaq, akimsisitiza mama yake Abdulazizi, kuhakikisha Abdulazizi, anakuja kuwatembelea, wakifunga shule, mwezi wa kumi nambili.
Kama kuna wakati ambao, siku ilikuwa aiendi, basi ni wakati huu, ambao Shadya alikuwa anatamani wafunge shule, akakutane na Abdulazizi, ili wafaidi mlenda wa porini.
Mateso zaidi ni pale Shadya alipowashuhudia wale waschana wenzake wakifanya kale kamchezo kao, ambako walikuwa wanakifanya kila siku, kama vile wameowaona, labda itokee mmoja wao awe anaumwa.********
Naaaaaaam!, likizo ya mwezi wa kumi na mbili, Abdulazizi alienda shambani kwa mwarabu, mapema sana, yani siku apili tu, baada ya kufunga shule, na kujikuta, akipishana masaa machache na Shadya, alie mtangulia kufika pale nyumbani.
Maisha yakwa vile vile, Abdulazizi aliendelea kumsaidia mzee Radhaq, kumsogezea vitu, katika ufundi wake wa agari, na matrector, ambayo msimu huu, yalikuwa yanatumika sana, kwa kilimo.
Na wakati anamsaidia, mzee Radhaq akuwa mchoyo wa ujuzi, na bila kujari umri mdogo wa Abdulazizi, alimwelekeza kila hatua ya ufundi, kama alivyo mwelekeza, kuhusu dini na imani.
Lakini nyuma ya ilo, Shadya na Abdulazizi, walipeana dudu, kila walipopata nafasi ya kuwa pamoja, na kadiri siku zilivyoenda, ndivyo Shadya alipozidi kupata raha mwiko, na kushuhudia dudu, ikizidi kuzama ndani zaidi ya kitumbua chake.
Na kilicho mfurahisha ni kwamba, ata yale maumivu ya ule uzio wa ndani, yalizidi kupungua, kila siku, na mwisho kuondoka kabisa, akikibakia kusikia utamu uliopitiliza.
Utamu zaidi ya utamu wenyewe, sasa walikuwa wanabadiri mitindo mbali mbali, ambazo zilikuwa zinatoa nafasi kwa dudu kuzama ndani, huku Shadya akiwa mnufaika zaidi.
Mfano ile ya kupandia kwa juu, na kukuna nazi, au kichura chura, kuhusu kuinama, walimaliza miinamo yote, kuanzia kuchuma tembele, tingwa mnywa maji, ule wa mbuzi kagoma.
pia walimaliza adi ile ya mtawazia gogo, na ile ya mbwa, yani walizoweana ungesema mke na mume, na kitu kibaya kwa Shadya, akuwa na uhakika wakipata dudu kwa mwanaume mwingine, kutokana na mazingira aliyokuwa anaishi.
Maana baada ya kufaidiana sana wawili wale, kwa muda wa miaka mitatu mitatu mbele, huku urafiki wao, ukichukuliwa kuwa ni urafiki wa kawaida, ndipo Shadya alipofauru na kwenda kusoma shule ya bweni, huko Dar_es_salaam.
Ni shule kama hiyo, ambayo ilikuwa na mashariti magumu sana, na sasa alitakiwa kurudi mara moja tu, katika mwaka, tena ni mwezi wa kumi na mbili, na ndio mwanzo wa kutengana kwao.
Maana Abdulazizi pia, aliatakiwa kushiriki kilimo, kule kijijini, kama ilivyokuwa mwezi wasita, alitakiwa kushiriki kwenye mavuno, lakini mara moja moja, Abdulazizi alienda kumsalimia mama yake, na kusaidia kazi za ufundi wa magari, ambazo sasa alikuwa anaziweza kidogo.
Upande wa Shadya hali ilikuwa ngumu kidogo, licha ya kuwa kumbuka wazazi wake, na kukosa dudu kwa muda mrefu, lakini kiu yake kubwa ilikuwa ni kukutana na Abdulazizi.
Maana siyo kwamba alikuwa atongozwi, ukweli alikuwa anapata usumbufu toka kwa wanaume, asa wakati wa likizo fupi, ambazo ubakia pale pale Dar es salaam, kwenye nyumba ya wazazi wake, iliyopo upanga Dar es salaam.*******
Naaaaam!, lakini basi, wawili awa wakaja kukutana mwaka 1996, mwezi wa kumi na mbili, wakati ambao, Shadya alikuwa amebakiza miezi mitano kumaliza, kidato cha sita.
Ukweli wakati huo, licha ya Shadya kupatwa na upwiru, siku moja moja, lakini hakika alishazowea kuwa mwenyewe, na kusahau kuhusu dudu ya Abdulazizi, ambae ilisha pita miaka zaidi ya mitano, bila kukutana nae.
Lakini wakati huo pia, tayari Abdulazizi, alikuwa amesha maliza shule ya msingi, na akuendelea na sekondari, hivyo akawa anajifundisha ufundi wa magari mjini, na kushiriki kilomi kijijini kwao Liwumbu.
Wakati huo, ata alikuwa akienda shambani kwa mwarabu, kumtazama mama yake, alikuwa anaendesha baskeri yeye mwenyewe, na akuweza kulala, maana akuwa na sehemu ya kulala, alisha kuwa mkubwa, asingeweza kulala na mama yake.
SEHEMU YA 22
Siku hiyo Abdulazizi, alifika kwa mwarabu, mida ya saa nne za tisa za jioni, ilikuwa ni baada ya, kupata ujumbe wa mama yake, kwamba aje achukuwe fedha, kwaajili ya kulimia na fedha ya chakura.
Abdulazizi alikutana na mama yake, na kupewa fedha alizotakiwa kupewa, kisha, “aya fanya haraka uondoke, giza lisije kukukuta njiani” alisema mama Abdulazizi.
Abdulazizi ambae aliambiwa kuwa mzee Radhaq, ameondoka kuelekea Dar es salaam, kufwatilia ujenzi wa jengo jipya, la biashara, akuambiwa ni bishara gani, lakini alimbiwa kuwa, angekaa muda mrefu.
Lakini basi, wakati Abdulazizi, anageuza baskari yake, tayari kuondoka, akasikia anaitwa, toka dirishani, “we Abdulazizi, inamaana unaondoka bila ata kunisalimia” ilikuwa ni sauti ya tamu ya kike.
Japo akuwai kuisikia sauti hii kwa miaka zaidi ya mitano, lakini aliitambua mara moja, Abdulazizi anageuka na kutazama nyumba kubwa, aoni mtu, anamtazama mama yake.
Lakini kabla ata ajamuuliza mama yake, akasikia mlango wa jikoni una funguliwa, nae anatazama upande wa mlango, anamwona Shadya, akitoka nje, akiwa amezidi kuwa mzuri, kupita kiasi, na amekuwa mdada kweli kweli.
Abdulazizi anajinganisha na Shadya, anajiona ni vitu viwili tofauti, kiukweli kijana wetu, alianza kufubazwa na jembe la mkono, bia ugumu wa maisha, ambapo kwa miaka hii, alilazimika kutafuta fedha kwaajili ya huduma zake binafsi.
“sikujuwa kama hupo” alisema Abdulazizi, kwa sauti changamfu, lakini moyoni mwake, alihisi aibu, kutokana na mwonekano wake, kuwa tofauti na ule wa zamani, kipindi akiwa mtoto.
“jamani bi Khadija, yani ukumwambia kama nipo, kwahiyo nisingekuja jikoni, nisinge kuona tena ata safari hii” alisema Shadya, kwa sauti ya kulalamika, huku anawasogelea Abdulazizi na mama yake.
Mama Abdulazizi anacheka kidogo, “nisamehe Shaddy, yani nilisahu kabisa kuwa nyinyin ni marafiki” alisema bi Khadija, ambae akishia hapo, “isitoshe muda umeenda, akichelewa ata tembe ana giza” alisema bi Khadija,.
“hapana bwana, leo Abdulazizi aondoki, ata ondoka kesho mapema, leo lala huku tuongee, nilikukumbuka sana” alisema Shadya kwa sauti ya kudeka, huku anashikilia baskeri.
Mama Abdulazizi anamtamtazama kijana wake, na Abdulazizi anamtazama mama yake, nikama wanaulizana itakuwaje, “asawa utalala chumbani kwangu, mimi nitalala kwa Jamilah” alisema mama Abdulazizi.
Hapo Shadya, akaachia tabasamu pana kweli kweli, kabla ajaongozana na Abdulazizi kwenda kupeleka baskeri kwenye pale nje, kwenye nyumba ya mama yake Abdulazizi.
Baada ya hapo walienda kukaa chini muembe, na kuanza kuongea mambo mengi sana, wakisimuliana hadithi nyingi, za kipindi ambacho awakuwa pamoja, “ila Abdulazizi siku hizi umekuwa mkubwa” alisema Shadya, huku anatabasamu.
“mbona ata wewe umekuwa mkubwa sana, alafu mzuriiii” alisema Abdulazizi, na kumfanya Shadya aachia tabasamu pana zaidi, lenye uzani mkubwa wa aibu.
Hakika kila mmoja wao, alikuwa anatamani kukumushia jambo la zamani, lakini kutokana, umri wao na ile kuto kuonana muda mrefu, wote wakashindwa na mna ya kuanza.
Japo moyoni mwa Shadya, alikuwa anaimani ya kuwa, Abdulazizi bado ni mpenzi wake, na awaitaji kuombana kwa mara nyingine, “kwahiyo bado unanipenda kama zamani” aliuliza Shadya, kwa sauti yenye aibu nyingi.
“mh!, naachaje kukupenda, ujuwe wewe ndio mwanake pekee niliewai kuwa nae” alisema Abdulazizi, ambae siku zote amekuwa anaswali sana, ata adhana iliposikika, wakaacha kuongea na kuingia kuswali.
Kuanzia mida hiyo awakuonana, mpaka mida ambayo, Abdulazizi alimaliza kula na kuingia kulala, “sasa huyu, kwanini aliniambia nisiondoke” aliwaza Abdulazizi, ambae alipanga kuondoka kesho mapema.
Lakini mida ya saa nne za usiku, aliposikia mlango wa chumba unagongwa, akaenda kufungua mlango, huku akiwa akiwa na shahuku, na alisisimka zaidi, alipomwona Shadya.
Shadya aliingia ndani haraka, na akiwa amevalia gauni jepesi, la kulalia, ambalo nikama lilikuwa liwasha, maana wakati Abdulazizi anamaliza kufunga mlango, tayari Shadya anaanza kuvua gauni lake.
Alipomaliza akamalizia na chupi, akibakia uchi wanyama, Abdulazizi anaweza kuona matiti makubwa kiasi ya schana huyu, na kisima chenye bustani ya nywele, kwa juu kidogo.
SEHEMU YA 23
Shadya, ambae sasa anapajamanene kiasi na makalio makubwa ya kuvutia, anapanda anapanda kitandani, na kujifunika blangeti, na kumtazama Abdulazizi, ambae alikuwa amvaa kaptula, na tishert.
Hapo Abdulazizi, akajuwa chakufanya, hivyo akavua tishert kisha akavua kaptula, na dudu, ikawa wazi kabisa, ikionekana iliyosimama kwanguvu kwa matamanio.
Abdulazizi anapanda kindani, na kujifunika blangeti moja na Shadya, “yani ata hii imekuwa kubwa siku hizi” alisema Shadya, huku anaishika shika dudu ya Abdulazizi, kabla ajainuka na panda juu yake akiikalia kama anataka kuendesha farasi.
Shadya alikuwa kama mtu mwenye kiu kali, anapo yaona maji, maana akusubiri chochote, bahati nzuri tayari kisima chake, kilikuwa kimesha jaa mlenda waporini.
Maana licha ya dudu ya kuingia kwa shida kidogo, lakini aikuwa kelo na wala hapakuwa na maumivu, zaidi ya utamu, ulio mfanya mschana huyu, aanze kutoa maneno madogo madogo.
“mwenzio sijafanya, toka siku ile ya mwisho” alisema Shadya, huku taratibu, anzungusha kiuno mkandamizo, juu ya dudu ya Abdulazizi, “Abuu mbona leo tau sana” alisema Shadya, kwa sauti yenye kuelemewa na utamu.
Lakini basi, dakika dakika kama kumi na nne baadae, kila mmoja wao akaongeza kasi ya viuno, huku utamu ukiongezeka, “utamu unazidi isitoe Abuu, usit……..” hapo Shadya akaganda akimkumbatia Abdulazizi kwanguvu, huku anakaza kiuno na mapaja yake.
Baada ya sekunde kadhaa, akalegea na kujilaza kifuani kwa Abdulazizi, ambae pia alikuw amesha mwaga watoto, wote wanahema kama wametoka kwenye mbio.
Shadya alitulia kwa sekunde kadhaa, pale kifuani kwa Abdulazizi, kisha akajilaza pembeni, huku anashusha pumzi ndefu, “leo tumechoka mapema” alisema Shadya, huku anacheka kivivu.
“tulikuwa na hamu sana” alisema Abdulazizi, na wakati huo ni kama kunakitu, kilimshtua Shadya, ambae alipeleka mkono sehemu zake za siri, na kutazama mkono wake.
Alipoona ujimweupe, mkononi mwake, akamtazama Abdulazizi kwa mshtuko, “Abuu, huu siyo mlenda” alisema Shadya, kwa sauti ya kunong’ona yenye mshtuko.
“itakuwa nimemwaga” alisema Abdulazizi, “he!, kumbe umeshaanza kumwaga, au na mimi nimemwaga ndio maana nimesikia utamu sana” alisema Shadya, huku anajilaza kifuani kwa Abdulazizi.
Ukweli azikuita ata dakika ishirini, wawili awa walishaanza kunyonyana matiti, na kupapasana vikojoleo, mwisho wakirudi kwenye mchezo wao, safari hii, wakianza kwa kifo cha mende, na kubadiri mkao, kila baada ya dakika kadhaa.
Muda wote wa mchezo, Shadya alisifia utamu, na kusisitiza upendo wao, “usiniache Abuu, mwenzio nataka uniowe wewe” alisema Shadya, kitu ambacho Abdulazizi, aliona nikama ndoto ya mchana.
Kiukweli siku ile, ilikuwa kama wamefunguliwa, toka kwenye kifungo, cha muda mrefu, bila kupeana mlenda wa porini, maana walicheza wakirudia mara nne, na kila mzunguko, wakifurahia mchezo.
“kwahiyo keksho ndio unaenda kwenu?” aliuliza Shadya kwa sauti ya unyonge, huku amelaza kichwa chake, kfuani kwa Abdulazizi, “ni muhumu kupeleka fedha za kulimia” alisema Abuu, ambae pia akutamani kuondoka, ila ilibidi tu.
“sasa mimi nitakuona tena lini, mwenzio nataka tuwe wote” alisema Shadya, kwa sauti yenye kulalamika kwa kudeka, “naweza kwenda nikarudi, lakini nitalala wapi?” aliuliza Abuu.
Hiyo ilikuwa saa nane, walipomaliza mzunguko wa nne, Shadya anainua usowake kifuani kwa Abdulazizi na kumtazama usoni, “kwani leo umelala wapi, basi nitaongea na mama yako” alisema Shadya, akionyesha dalili ya furaha.
“utamwambiaje?” aliuliza Abdulazizi, na wote wakacheka kidogo, “nitajuwa mimi cha kumwambia, tena yeye anajuwa sisi tunacheza pamoja” alisema Shadya, huku analaza tena kichwa chake, kifuani kwa Abdulazizi.
“lakini sisi ni wakubwa, unazani baba yako ata tuacha tuendelee kukaa wenyewe?” aliuliza Abdulazizi, “baba arudi leo wala kesho, anasimamia ujenzi wa hospital yangu, Dar_es_salaam” alisema Shadya.
“he!, hospital yako?” aliuliza Abdulazizi, kwa sauti yenye mshangao, na hapo Shadya akaanza kumweleza Abdulazizi, ya kuwa, kwasasa yeye anasomea sayansi viumbe hai na tindikali, lengo ni kuja kuwa doctor.
Awakuongea sana, ata walipopitiwa na usingizi mzito, Shadya akiwa juu ya kifua cha Abdulazizi, huku wote wawili kwa pamoja, wamejifunika blangeti, hakika ulikuwa usiku mzuri kwao.********
Naaaaaam!, mama Abdulazizi alie lala kwenye chumba cha Jamilah, ambae nimsaidizi wake mpya, wakazi za ndani, kwenye nyumba kubwa, aliamka saa kumi na moja na nusu, na kuchukuwa udhu, kisha akaswali.
Alipomaliza kuswali, akashungulia nje, kuona kama Abuu amesha amka, na kuanza safari, lakini akashangaa kuona papo kimya, na taa zimezimwa, akajiuliza maswali mawili, ambayo majibu yake, yaliashiria Abdulazizi bado amelala.
SEHEMU YA 24
Swali la kwanza lilikuwa ni kwamba, ameweza kuondoka bila kumuaga, kitu ambacho kisingewezekana, na vipi kuhusu taa, inamaana ameamka kuswali, na giza, wakati anajuwa mpaka sehemu switch ilipo.
Hapo mama Abdulazizi akajuwa kuwa, Abdulazizi bado alikuwa amelala, japo ilisha timia saa kumi na mbili na dakika tano, lakini anatakiwa kwenda kumwamsha, ili aswali na kuanza safari.
Mama Abdulazizi, alitoka mle chumbani, maana pia na yeye alitakiwa kujiandaa, ili akajiandae ili wakaanze kazi kwenye nyumba kubwa, kama ilivyo ratiba ya kila siku.
Lakini basi, licha ya mama Abdulazizi, kukuta baskeri nje ya nyumba, lakini alishangaa, kusikia sauti za mikoromo miwili, toka ndani ya chumba chake, tena mikoromo ya watu walio choka kweli kweli,.
Bi Khadija anatazama kushoto na kulia, akitazama nyumba za wafanyakazi wenzake, ambako anaona vijumba vichache vimefunguliwa, na wafanyakazi mmoja mmoja anatoka nje.
Bi Khadija akiwa najiuliza ni nani yupo ndani ya chumba kile, na kijana wake Abdulazizi, japo mawazo yake yanamlenga Shadya, ambae jana alihakikisha Abdulazizi aondoki pale.
Bi khadijana kwa hisia hizo, anasukuma mlango taratibu na kuingia ndani, akutaka kuwashtua, ili watu wanyumba za jirani wasisikie, na anapoingia ambako kumeshaanza, kuingia mwanga wa mpambazuko wa nje.
Anajionea kitu ambacho, alishindwa awe upande hupi, kwa kuona mschana huyu, mrembo wakichotara, mtoto wa tajiri Radhaq, akiwa amelala kwa utulivu kifuani kwa mtoto wake, wanakoroma kwa kushinda, huku wamejifunika blanketi moja.
Bi Khadija alishindwa akasilike, kwa kitendo cha Abdulazizi kulala Shadya, mschana ambae ni mtoto wa boss wake, boss mwenyewe, anamtazama mtoto huyu, kwa macho ya karibu, na makini, akutaka ajiusishe na mapenzi.
Au afurahie kwa ulijari wa kijana wake, kuweza kulala na mschana ambae, kila mmoja anamsifu kwa uzuri na uadilifu wake, tena ni mtoto wapekee wa tajiri huyo, anae tolewa macho ya matamanio na kila mwanaume anae mwona.
“Shadya!, Shadya!, aliita mama Abdulazizi, huku anampapasa Shadya mgongoni taratibu, mikoromo inakoma, utulivu wa sekunde kama tatu unapita, kisha wote wawili, wanatazama bi Khadija kwa mshtuko.
“amka uende ndani kabla watu awajatoka” alisema bi Khadija kwa sauti ya kunong’ona, hapo Shadya anatazama dirishani anaona nje kumesha kuwa kweupe.
“he!, nimepitiwa na usingizi” alisema Shadya, huku anainuka haraka kitandani, akiwa mtupu, kama alivyo zaliwa, anavaa gauni lake haraka, “ngoja nikaangalia watu, usitoke mpaka nikuambie” alisema bi Khadija, huku anataka kutoka nje.
“sawa, lakini bi Khadija, naomba Abuu aende alafu arudi baadae” alisema Shadya, kwa sauti ya chini, yenye kuomba, huku amesimama karibu na bibi Khadija, na chupi yake mkononi.
SEHEMU YA 25
Bi Khadija anamtazama Shadya, kwasekunde kadhaa, moyoni anajisemea kuwa, mschana kampenda sana mtoto wake, “sawa!, tunaongea baadae, ngoja kwanza tuangalie unatokaje” alisema bi Khadija, kisha akatoka nje.
Bi Khadija anatazama pande zote, anaona nje papo kimya, anachungulia ndani, ambako anamwona Shadya, akiwa anasogeza mdomo wake, kwenye shavu la Abdulazizi, na kumbusu.
“usichelewe kurudi, nitakumiss sana” alisema Shadya kwa sauti ya kudeka, “Shadya utaongea nae baadae, twende haraka, kabla watu awajakuona” alisema bi Khadija, na hapo Shadya akatoka nje haraka.
Naaaaam!, bahati ilikuwa upande wao, kwamaana Shadya alifanikiwa kuingia ndani salama, pasipo kuona na mtu yoyote, pamoja na Jamilah, ambae dakika chache baadae aliingia jikoni kusaidiana kazi na bi Khadija.
“Jamilah, na kuja sasa hivi, ngoja nikamuage Abdulazizi anatakiwa kwenda nyumbani, anarudi baadae” alisema bi Khadija kabla ajaenda kuagana na Abdulazizi, ambae alimkuta anajiandaa kuondoka.
“unaweza kuniambia mlianza lini huo upuuzi wenu” aliuliza mama Abdulazizi, lakini Abdulazizi alishindwa kujibu, kutokana na hali aliyokuwa nayo, “fanya uende, mwenzio anakuitaji, lakini uwe makini, usije kuleta baraha” alisisitiza mama Abdulazizi.
Shadya aliingia chumbani kwake, moja kwa moja akapanda kitandani, alichukuwa kama dakika kumi kutafuta usingizi, huku kichwani mwake, akihisi upweke wa kukosa mlalo alio lala usiku, yani kifuani kwa Abdulazizi.
Baada ya kupitiwa na usingizi, aliamshwa na bi Khadija, mida ya saa nne kasoro, “bi Khadija, lakini ujamgombeza Abdulazizi” aliuliza Shadya, akiwa mwenye wasi wasi.
Bi Khadija anatabasamu kidogo, “hapana sijamgombeza, na juwa mnapendana” alisema bi Khadija, kwa sauti tulivu ya upole, “kwahiyo baadae anarudi?” aliuliza Shadya, kwa sauti ya chini yenye shahuku.
Bi Khadija, anaitikia kwa kichwa, kabla ajauliza swali lake, “hivi mlianza lini kuwa pamoja?” aliuliza mama Abdulazizi, na kumfanya Shadya acheke kwa aibu, “toka zamani, yani siku ya kwanza tu, tulipoonana” alisema Shadya, na kumwacha Khadija mdomo wazi.
Siku ilikuwa ndefu kwa Shadya, masaa yalisimama, aliona muda unachelewa, ata mida ya saa kumi na moja, alipomwona Abdulazizi anaingia, akuamini macho yake.********
Naaaaaaam!, likizo ile ya mwisho ya kidato cha sita, ilikuwa fupi sana kwa Shadya, ambae alitamani likizo isiishe, ili aendelee kufaidi kile alicho kuwa anakikosa kwa muda mrefu, ambacho yeye na Abdulazizi walikiita mlenda waporini.
Maana kila siku walilala pamoja, mpaka mida ya saa kumi na moja, kabla Shadya ajarudi nyumba kubwa, na kuna baadhi ya siku walipitiliza, na kulala mpaka saa mbili asubuhi, bahati nzuri hakuna alie gundua.
Katika kipindi iki, walifanya mambo mengi sana, yaliyofanya tendo ilo kuwa tamu zaidi, maana walijaribu ata kulambana midomo, na walipoona tamu zaidi, awakuacha kufanya hivyo.
Kikubwa walisisitizana kuwa pamoja milele, na mwisho wa siku waje kuwa mke na mume, huo ulikuwa wimbo wa Shadya, ambae ambae alisema akuwa tayari kuvua nguo zake, mbele ya mwanaume mwingine.*******
Mwezi wa kwanza wili ya pili mwanzoni, ndio siku ambayo Shadya alipoondoka kwenda Dar es salaam, ambako pia ndiko alikuwa anasoma, kiukweli ilikuwa ni uzuni kwa wawili awa, asa Shadya ambae upando wake kwa Abdulazizi uliongezeka maradufu, bila kujari hali ya kijana huyu.
Lakini pia wakati Shadya anaondoka akiwa mesindikizwa na Abdulazizi, alie lala nae usiku kucha, alimwachia kiasi cha tsh laki nne, wakati huo ilikuwa fedha nyingi, akimwambia kuwa afanye chochote cha kujiendeleza.
Pia alimwambia wakutane mwezi wa tano, pale nyumbani, maana ata kuwa amesha maliza mtihani, anasubiri matokeo, hivyo asiache kuja kumtembelea, wafaidi kile wanacho kiacha sasa.
Kiukweli aikuwa hivyo, maana mara baada ya kuondoka Shadya, kijana Abdulazizi akaamua kufanya jambo ambalo litamletea heshima, angalau awe na ile adhi, ya kumfanya Shadya kuwa mke wake.
Kwakuwa Abdulazizi alikuwa na ufahamu mdogo wa ufundi wa magari, akaamua kwenda mjini, ambako alitafuta chumba cha kupanga huko mahenge C, akalipia kitanda, ambacho alichongea kijijini kwao kwa bei nafuu.
Kisha akanunua godoro na vitu muhimu vya ndani, yani vyombo vya kupikia, na mashuka na baadhi ya nguo safi, za ili awe kupendeza akiwa mtaani, aliyaka akikutana na Shadya aonekane watofauti.
MWISHO WA SEASON ONE
SEASON TWO
MLENDA WA PORINI
SEHEMU YA 26
Ilivyo bahati, ata baada ya kuanza kazi kwenye karakana moja, karibu na uwanja wa maji maji, na zimanimoto, lakini Abuu, akuacha kuswali, na kushika dini, akijiepusha na maovu.*******
Lakini siku moja mwezi wa tano mwishoni, wakati Abuu anajiandaa kwenda kwa mwarabu, yani kwa kina Shadya, ikiwa ndie siku walizo aidiana, kuwa Shadya atakuwa amerudi nyumbani.
Mara kamwona mama yake, akifika pale gereji, huku uso wake ukiwa umesinyaa kwa uzuni, ilimshangaza sana Abdulazizi, ambae alitoka na mama yake mpaka sehemu Fulani, ambako walikaa na kuanza kuongea.
“mwanangu ata sijuwi nini kimetokea, mpaka mzee Radhaq akajuwa kuwa, unatembea na Shadya, yani amekasirika vibaya, kama siyo mama Shadya, kunishtua mapema nikimbie, angekuwa amesha niuwa” aarifa hii ilinshtua sana Abdulazizi.
Akahisi dunia inamtupa mkono, kwamaana mambo yote yamesha aribika, ata malengo ya kuishi na mwanamke anae mpenda yalitoweka kichwani mwake, “ngoja nikakutane na Shadya” alisema Abdulazizi, ambae akutaka kukubari matokeo.
“mwanangu, sipo tayari kukupoteza, maana nashukuru sikuwai kuwaambia kijiji ninacho tokea, vinginevyo, mwarabu angekuwa amesha tufwata na kutuuwa sisiwote wawili, napengine watu wetu wakaribu” alisema bi Khadija.
Ilizidi kumtisha Abdulazizi, ambae kiukweli, licha ya kufahamu vyema, jinsi mzee huyu, alivyo mkali kwa familia yake, asa kwabinti yake, ambae akutaka asogelewe na mwanaume yoyote, ata kwa kuombwa maji.
Lakini akutegemea kama, angefikia hatua, ya kutaka kutoa uhai wa mama yake, pia kwa mara ya kwanza, Abdulazizi alijijihisi hatia moyoni mwake, kwa kitendo alicho kifanya kwa mzee huyu, ambae alimchukulia kama kijana wake.
“tulipanga mambo mengi sana mama” alisema Abdulazizi, kwa sauti yenye udhuni kubwa, “mwanangu, ule ulikuwa utoto, lakini ni wazi maisha yenu ni tofauti” alisema mama Abdulazizi, akimwonea huruma kijana wake.
“tulipanga kuishi pamoja” alisema Abdulazizi, kwa sauti ile ile yenye mpoozo wa hali ya juu, “unanafasi ya kuanza upya mwanangu, wewe bado kijana na unanguvu” alisema bi Khadija akimfariji Abdulazizi.
“lakini pia nimearibu kazi yako, ambayo imenilea toka nikiwa mtoto mdogo” alisema Abdulazizi akijilalamikia kwa uchungu, “usiudhunike mwanangu, kuna kitu inabidi ujuwe” alisema bi Khadija.
Abdulazizi anamtazama mama yake, kusubiri amweleze kile atakacho mwambia, “hatima ya mtu, aindikwi kwenye mchanga, kama ni kweli ulipangiwa kuishi na Shaddy, na kuhakikishia utaishi nae, swali sana na kusoma dua” alisema mama Abdulazizi, kabla awajaagana.
Naaaaam!, sasa jukumu la mama Abdulazizi, likwa la Abdulazizi mwenyewe, ambae alikuwa anafanya kazi kwa juhudi, anapopata fedha, cha kwanza kabla yake, alihakikisha amemaliza maitaji ya mama yake, ndipo anajikumbuka yeye mwenyewe.
Muda ulizidi kwenda, lakini Abdulazizi, kila alipojaribu kutafuta mwanamke wa kuoa, aliona hakuna anae mfaha, ambae angalau angefanana na Shadya, ambae alimini yakuwa, na yeye anamtafuta iliwakutane japo kwa siri.*******
Miezi ilipita hatimae mwaka ukakatika, bila kumwona Shadya, wala kusikia habari zake, ukapita mwaka wapili hivyo hivyo, na hatimae mwaka watatu, yani 1997 wiki ya pili ya mwezi a, mwaka ambao Abdulazizi alimini kuwa, anatakiwa kuchagua njia yake.
Siku ile, Abdulazizi alikuombwa na boss mmoja, aipeleke familia yake stendi mida ya saa kumi na mbili za asubuhi, iyokuwa inasafiri kuelekea jijini Dar_es_salaam.
Lakini basi, wakati anaondoka pale stendi, amesha iacha ile familia ya boss, mara akapishana na gari aina ya land rover mia na kumi, ambalo alilitambua mara moja, kuwa ni gari la mwarabu, alipoangalia ndani vizuri.
Ndipo alipokata tamaa, ya kuwa tena na Shadya, maana ndani ya gari aliwaona watu wanne, kama ambavyo anapaswa kusema, kwamaana ya dereva, ambae, alikuwa mgeni macho machoni pa Abdulazizi.
Pia seat ya mbele ya abiria, alikuwa amekaa Shadya, lakini alikuwa amepakata mtoto mkubwa kiasi, mwenye mkadilio wa miaka mwili na nusu au mitatu, seat ya nyuma akiwa amekaa mwanamke mwingine.
SEHEMU YA 27
“dah!, kumbe tayari wamesha mwozesha, na anamtoto” alijiwazia Abdulazizi kwa uchungu, kama siyo kutuliza akili, angesababisha ajari, maana alijiwa na uchungu mkali wa ghafla.
Ukweli ile picha ilichelewa sana kumtoka kichwani, ebu fikilia, Abdulazizi alishindwa ata kumsogelea Shadya, kwa machungu aliyokuwa nayo, anahisi angemsogelea tu angashindwa kuongea na kuishia kuangaua kilio.
Ilimchukuwa miezi zaidi ya minne, Abdulazizi kusahau maumivu yale, huku akikata tamaa na kujaribu kufuta kumbu kumbu za Shadya, kila siku akizidisha dua na swala, kama mama yake alivyo msihi.
Lakini isvyo bahati kwake, siku moja, ya wiki ya kwanza, ya mwezi wa kumi na mbili, Abdulazizi akiwa ameenda stendi kupokea vipuri vya gari, walivyoagiza toka Dar es salaam, mida ya saa kumi na mbili za jioni.
Akamwona Shadya akiwa anashuka toka kwenye bus ilo, hapo Abdulazizi akajivesha ushujaa, wa kwenda kumwuliza, nini kimetokea, mpaka akavunja ahadi yao, ni kweli amemwogopa baba yake, na kuamua kuolewa na mwanaume mwingine.
Lakini kabla ajamsogelea, akamwona Shadya anapokelewa na mzee Radhaq, na mama yake, hapo Abdulazizi akageuka haraka, na kuficha uso wake, akaenda kujibanza ubavuni mwa bus, mpaka alipo hakikisha wameondoka.
Toka siku ile, Abdulazizi akaamua ajiwekee malengo ya kuamia Dar es salaam, akatafute maisha mapya, pengine akapata fedha nyingi zaidi, kwenye mji wenye magari mengi, ambako kutakuwa na kazi nyingi.********
Lakini basi, mwezi mmoja baadae, Abdulazizi akiwa amesha jiifadhia fedha nyingi kiasi, ikiwa ni safari ya kuelekea Dar_es_salaam, kuchagua njia yake ya maisha.
Lakini basi, siku moja mida ya saa kumi na moja za jioni, akiwa anaelekea nyumbani, akakumbuka anatakiwa kununua mkate, vitafunwa kwaajili ya jioni, mara akamwona mschana alie vaa vyema kabisa.
Gauni refu zuri, ushungi kichwani, akitembea taratibu kuelekea upande ambao yeye alikuwa anaelekea, japo mschana huyu alivaa gauni refu, na kufunika kichwa chake, lakini uzuri wa umbo lake, aukupote, maana akuwa amemtazama usoni.
Abdulazizi akatoa saa mfukoni, na kutazama muda, ikiwa ni kujihepusha asimtazame, mschana huyu, alihisi ingemletea matamanio, na kusababisha kuningia katika uzinifu.
Licha uzugaji huo, lakini Abdulazizi akuacha kusabahi mschana yule ambae umbo lake lililonekana vyema toka nyuma, yani umbo la dondora, tumbo dogo, kiuno na makalio mapana kidogo, huku hisp zikichomoza kwa kiaina.
“Asalam Aleykum” alisamia Abdulazizi, huku anampita yule mschana, ambae akuacha kuitikia, “Waleykum Asalam Aleykum” aliitikia mschana, na Abdulazizi akaachana nae na kuendelea na safari yake.
Lakini ile anafika dukani, ndipo alipogundua kuwa alidindisha wallet yake, wakati anaruisha saa mfukoni, ni baada ya kuletewa na mschana yule alie msalimia njiani.
Kiukweli siyo tu kushukuru, kwa kuokotewa wallet yake yanye fedha aliyo itolea jasho kwa muda mrefu, ila pia alimwona mschana huyu ni watofauti sana, maana alipotaka mpatia fedha kama asante, mschana alikataa.
Ukweli Abdulazizi akajikuta anavutiwa na mschana huyu, ata aliposikia shida waliyonayo, akaamua kumsaidia, ndio maana alienda hospital, kukutana na wazazi wake, akiwa amewabebea futari, aliyo iandaa yeye mwenyewe.
Lakini pia, kila alipokuwa nao karibu, ndipo alipogundua kuwa, siyo Zuleiya peke yake, ila familia nzima, ilikuwa na watu wenye maadiri na utu, nae akapendezwa nao, na kuwa na karibu sana.
Lakini akapanga yakuwa, asimtongoze Zuleiya, wala sionyesha dalili ya kumtaka, mapaka wote wajilizishe, kama wanafaa kuwa pamoja kama mke na mume, lakini ikitokea akaondoka na wasionane tena, itakuwa basi siyo hatima yake.
Na ndivyo ilivyokuwa, licha ya kuonana kila siku, na kuwa saidia kwa hali na mali, huku akiwapeleka mpaka njia panda kwa mwarabu, lakini akumweleza kitu na wala mschana akuonyesha kujilahisi, ila alipenda walivyo mchukulia kama ndugu yao.**********
Naaaaam!, ilipita miezi minne, Abdulazizi akiendelea na kazi zake, huku anatunza fedha kwaajili ya safari yake ya Dar_es_salaam, ambako alimini ya kuwa, anaenda kufanikiwa.
Lakini siku moja, katika mwezi watano, lilitokea tukio moja kubwa sana, siku hiyo, Abdulazizi alikuwa gereji, anaendelea na kazi zake, “dah!, ningekuwa na group A, sasa hivi ningekuwa tajiri” alisema mmoja kati ya wale mafundi.
Abdulazizi akasogelea hapo, “group A la nini?” aliuliza Abdulazizi, “la damu kaka, kuna tajiri anaitaji damu, dadu la milioni moja kwa mtu atakae toa, lakini watu wengi awana group sawa na yeye,.
Nikitu ambacho Abdulazizi alikipuuzia, kwa kuona asingweza kuuza kitu kilichopo mwilini mwake, ilikujipatia fedha, “hivi huyo mwarabu ni tajiri hen, mbona simjuwi?” aliuliza mwingine.
Na hapo kwa mara ya pili, Abdulazizi anavitiwa na maongezi yale, yanamrudisha tena, “mh!, huyu si yule mwarabu mwenye mashamba kule matogoro porini” alijibu mmoja wao.
“inamaana ata mtoto wake moja, hakuna anae endana nae damu?” aliuliza mwingine, “hoya, mzee anamtoto mmoja tu, ni chuma kweli kweli, anasoma chuo huko Dar_es_salaam, na huyu mzee anaitaji damu kwa haraka.
Alisema huyo mwingine, ambae alionekana kuijuwa vizuri hadithi hiyo, “anaumwa nini mpaka anaitaji damu kwa haraka kiasi hicho?” alieuliza safari hii, alikuwa ni Abdulazizi.
SEHEMU YA 28
“mzee alipata ajari mida ya saa nne, wakati anatoka huko mashambani kwake, sasa amevunjika mguu, inabidi afanyiwe operation, na damu nyingi imemwagika, sasa wakutoa damu ndiyo kasheshe” alifafanua yule wa kwanza.
Hapo Abdulazizi ambae kiukweli licha yayote yaliyotokea, lakini bado alijiona anaitajika katika kujaribu kumsaidia mzee Radhaq, kwamaana ukiachilia kumlea kama kijana wake, pindi akiwa mtoto.
Lakini pia, maisha yake na mama yake, yaliishi kutegemea mshahara, alioupata mama yake, kwa kazi aliyokuwa anaifanya nyumbani kwake, isitoshe pia, waliishi na mama yake, vizuri sana, huku wakiwachukulia kama familia, kabla mambo ayaja aribika, na yeye akiwa ndio sababu.
Hivyo basi, Abdulazizi kutaka kuuliza mara mbili, na akutaka ata wale wengine wajuwe anausika vipi, akaondoka kimya kimya kuelekea hospital, ambako alifika haraka.
Kule hospital akuta watu kadhaa, wakiwa wanajilahumu kwa utofauti wa damu zao, ambazo azikuendana na damu ya mzee Radhaq, pia alimwona mama Shadya akiwa amekaa kiunyonge, muda wote, anafuta machozi usoni.
“Asalam Aleykum mama” alisamia Abdulazizi mara baada ya kumfikia mama Shadya alikuwa amekaa na Jamilah, mama Shadya anainua uso wake kumtazama alie salimia.
Anapomwona Abdulazizi anazidi kulia, “Waleykum Salam mwanangu, baba yako anahali mbaya, anapoteza maisha kwaajili ya damu” alisema mama Shadya kwa sauti yenye uchungu na kilio.
“sikumbuki group langu, lakini wacha nijaribu tuone” alisema Abdulazizi, na hapo muuguzi aliekuwa karibu, akamdaka juu kwa juu, “aya twende kaka yangu, maana aiitaji kuchelewesha, hali ya mzee inazidi kuwa mbaya” alisisitiza nurse.
Mama Shadya alie kata tamaa, akimchulia Abdulazizi kuwa, amekuja pale kutokana na uitaji wa fedha, vinginevyo, asinge jitolea damu yake, kwa mtu alie nusulika kumuuwa mama yake.
Ata hivyo akuamini kama damu ingeendana, ikiwa ya kwake, ya Jamilah, na watu wengine wengi, ilishindikana kuendana, na mbaya zaidi, walie mtegemea alikuwa anatarajiwa kuja kesho jioni, hakika angekuta mzee amesha aga dunia.
Naaaaam!, nusu saa baadae, mama Shadya akiwa amekata tamaa, mara akamwona yule muuguzi anakuja upande wake, huku uso wake ukiwa kati hali ya tabasamu.
“vipi majibu yanasemaje?” aliuliza mama Shadya kwa sauti yenye shahuku, baada ya kuona tabasamu usoni kwa muhuguzi, “imekuwa kama bahati, damu zao zinaendana, hivi tunavyoongea anameshaanza kutoa damu” alisema nurse.
Hapo mama Shadya akatazama juu, na kufanya mikono kama amekinga kitu flani, “asante mwenyezi mungu” alisema mama Shadya, ambae angalau, tabasamu lilionekana katikati ya machozi yake.
“tena kwa bahati anauwezo wa kuchangia chupa mbili, ambazo zitatosha kumwongezea mzee, wakati wa kufanya operation” aliongea yule nurse, ambae akukaa sana akaondoka kuelekea ndani.********
Misaa mawili baadae, mama Shadya akiwa anamsubiri Abdulazizi atoke, ili wakachukue fedha kwenye gari, na kumkabidhi, mawazo mengi yanamkabiri, kwamaana akujuwa amshukuru vipi Abdulazizi.
Mara akamwona kijana huyu anakuja huku ameshikilia pamba kwenye mkono wake wakushoto, sehemu ya kiwiko kwambele, akiziba kwa pamba, sehemu ambayo alikuwa ametoboa kutoa damu.
“asante sana mwanangu, sasa baba yako anaweza kupona” alisema mama Shadya, mara baada ya Abdulazizi, kufika pale walipokuwepo, “tumwombee dua apate unafuu” alisema Abdulazizi.
Kabla mama Shadya ajaongea kitu, Abdulazizi akaaga, “wacha nikapumzike mama, wamesema natakiwa kupumzika maana nimetoa mifuko miwili, ni mara yangu ya kwanza wacha nifwate mashariti yao” alisema Abdulazizi, huku anacheka kidogo.
“sawa, basi tuongozane, nikakupatie fedha yako” alisema mama Shadya kwa sauti ya chini, kwanza Abdulazizi akatikiksa kichwa kukataa, “hapana mama, sijakuja kuuza damu” alisema Abdulazizi.
“lakini baba tuliahidi hivyo kwa mtu atakae….” alisema mama Shadya, na kabla ajamaliza, Abdulazizi akamuwa, “hao ni watu baki, lakini mimi, nimekuja kumtolea, mtu alie nichukulia kama mwanae” alisema Abdulazizi.
Na kabla mama Shadya ajaongea kitu, tayari Abdulazizi alishaanza kuondoka, kuelekea upande wanje, “sawa, lakini ukipata muda kunajambo nataka tuongee” alisema mama Shadya.
SEHEMU YA 29
“sawa mama nitakuja” alijibu Abdulazizi, kwa sauti yenye nidhamu na unyenyekevu, kisha akaendelea na safari yake, akihisi kuwa, mama Shadya anataka kumweleza kuhusu kilicho tokea, na pia kuhusu Shadya kuolewa.
Lakini wakati yeye anatembea kueleka nje, mama Shadya, akainamisha usowake, huku amekinga mikono yake, kama alivyofanya mwanzo, kisha akaongea maneno flani kimya kimya, kabla ajasema “Amina” huku anapitisha mikono usoni kwake.********
Naaaaaam!, Abdulazizi alifika ofisini, akawaaga wenzake, akiwaambia kuwa, anajihisi homa, akapitia sokoni na kununua mazaga kwaajili ya kupika, kisha akaenda nyumbani, yani kule alikopanga.
Ukweli mifuko miwili ni mingi sana, ilimfanya Abdulazizi atulie ndani kwa siku kama tatu hivi, na siku ya nne, akaenda hospital, kumwona mwarabu, akiwa anawaza namna ya kukabiliana nae.
Lakini alipofika pale, akaambiwa kuwa, mara baada ya operation kukamilika, binti yake ambae ni doctor mwanafunzi, memsafirisha baba yake, kuelekea Dar_es_salaam.
Ambako atakuwa anaudhulia hospital ya muhimbili, huku anaishi nyumbani kwake upanga, moja kwa moja Abdulazizi akajuwa kuwa, mtoto anae semwa, ni yule yule mwanamke alie mpenda, yani Shadya.*******
Maisha yaliendelea huku Abdulazizi akiendelea na majuku yake ya karakana, huku akijiifadhia fedha, aende Dar_es_salaam, kujaribu bahati ya maisha yake.
Siku zote za kazi, pale kijiweni kwao, aliwasikia wenzake wakisimulia kuhusu starehe na wanawake, lakini yeye akujari wala kushawishika, japo kuna wakati alipata wakati mgumu.
Maana wakati mwingine, maongezi yalisifia ngono, na jinsi walivyo fanya na wanawake wao, mitindo ya utendaji wa ngono, kumwandaa mwanamke, na jinsi ya kumlidhisha.
Ni vitu ambavyo wakati mwingine alisoma kwenye vijitabu vidogo vidogo, vilivyo andikwa, na waandishi kama wakina #mbogo_edgar, vilimpa matamanio, na kujikuta akitamani kuwa na mke, kitu ambacho ata mama yake alimshahuri mara kwa mara.***********
Naaaaam!, miezi miwili ilipita, mpaka kufika mwezi wa saba mwishoni, siku ambayo ilikuwa siku ya kwanza kwa Abdulazizi kuanzika hatima nyingine ya maisha yake, kwamaana ya kuachana na ndoto za zamani, kuanza msiaha mapya.
Ilikuwa mida ya saa saba mchana, Abdulazizi akiwa ananawa kwa kujiandaa kwenda kuswali adhuhuri, kisha akapate chakura, ni baada ya kazi za toka asubuhi, mara akasikia minong’ono, toka kwa mafundi wenzake.
“duuu!, ebu ona yule demu” alisema mmoja kwa namna ya kusifia, na mwingine akadakia, “ebwanaeee, mtoto anauzuri wa hasiri, ebu mcheki” lakini licha ya sifa zote, Abdulazizi alinamaliza kuchukuwa udhu, kisha anageuka kumtazama.
“hoya kausheni, huyooo, anakuja hapa, huyu niachieni namwimbisha mwenyewe” alisema mmoja wao, kisha wote wakaa kimya, sekunde dakika moja baadae, ikasikika sauti ya kike.
“Asalam Aleykum” ilikuwa sauti ambayo aikuwa ngeni masikioni kwa Abdulazizi, ambae alishawishika kugeuka kutazama, kule waliko wenzake, nikama mita sita au saba toka alipo, seme palikingwa na gari moja bovu, hivyo kumwona vyema.
“walekum muisilamu” awaliitikia kwa pamoja, kwa namna walivyojuwa yeye, “samahani, nimekuja kumtembelea Abdulazizi” alisema yule mschana, kwa sauti yenye nidhamu ya hali ya juu.
Hapo Abdulazizi akajikuta anatabasamu mwenyewe kwa kujuwa kuwa mgeni huyu, ni Zuleiya, “mh!, Abuu ni nani wako?” aliuliza mmoja wao, kwa sauti ya mshangao.
Lakini tayari Abdulazizi mwenyewe alisha sogea karibu, “kwanini usiniulize mimi kaka, au unashangaa nimetembelewa leo” alisema Abdulazizi, kwa sauti yenye utani wote kwa pamoja wanacheka.
Wote wanamtazama mschana huyu, mwenye uzuri wa hasiri bila urembo, akiachia tabasamu pana la furaha, akiwa amesimama pembeni ya baskeri yake, iliyobeba mizigo kadhaa, ikiwepo mfuko mkubwa maindi, na vimifuko vidogo vidogo.
Abdulazizi anamsogelea Zuleiya, “Asalam Aleykum” alisalimia Abdulazizi, huku tabasamu bado limejijenga usoni kwake, “Waleykum Asalam” aliitikia Zuleiya, kwa sauti iliyoambatana na kicheko chenye kijiabu, kwambali.
“naomba unusubiri hapa niswali mara moja” alisema Abdulazizi, “mimi saahizi sina udhu, nitaenda kuswali nyumbani” alisema zulaya, huku anaweka baskeri vizuri, kisha akaongozana na Abdulazizi, mpaka kwenye sehemu ya kukaa.********
Wakati huu avuu anaswali, wacha sisi tumkague Zuleiya, ambae kiukweli katika miezi hii sita ambayo akuonana na Abuu, alikuwa anaishi akimkumbuka sana, huko kijijini.
Na siyo tu, Zuleiya peke yake, ata wazazi wake, walimsimulia Abdulazizi, kama kijana wapekee kabisa, alie letwa kwao, kama msaada, katika kipindi kile kigumu.
SEHEMU YA 30
Kitu ambacho bwana Abdallah, akujuwa ni kwamba, wakati yeye anaomba dua, binti yake apate mwanaume kwenye tabia kama za Abdulazizi, mke wake nae, kila siku alikuwa anaomba dua, binti yake aolewe na Abdulazizi.
Kwa upande wa Zuleiya mwenyewe, ilikuwa hatari, alikuwa anaomba dua kila mara, wakati mwingine alifunga na kufunga kabisa, akiomba aolewe na Abdulazizi.
Sasa hapo ndio tujiulize swali, au tutafakari jambo, yani wakati Abdulazizi alikuwa anaomba dua, amwoe Shadya, pia kuna kikundi cha watu wanamwombea dua, aowane na Zuleiya.
Siku zilienda, huku siyo Zuleiya mwenyewe au wazazi, walio elewa namna ambavyo binti yao atakutana tena na kijana Abdulazizi, ambae kwa upande wao, waliona kuwa anakila sifa, ya kuwa mume wabinti yao.
Siku zilienda, mabinti wa umri wa Zuleiya wakiolewa na kuachika, wakipachikwa mimba na kujifungua, lakini binti yao akuonyesha dalili ata ya kuwa na mwanaume, japo wapo wanaume waliokuwa wanamvizia kila siku.
Lakini miezi kadhaa mbele, ukaanza kusikika uvumi, wa kuwa Zuleiya anamchumba mjini, anaeitwa Abdulazizi, uvumi ambao uliwashtua ata wazazi wake, wakishindwa kukubari au kukataa.
Ata wazazi hao walipoulizwa, walijibu kwa kuacha swal hewani, “kuweni na subira, kila kitu kina hatua zake” na wakati huo nao wakaenda kutafuta jibu kwa binti yao, ambae ilibainika kuwa, kila alipotongozwa alijibu kuwa anamchumba tayari.
“kwanini unasema hivyo mwanangu, uoni kuwa unawafukuza wachumba?” aliuliza mama Zuu, ambae wachache walimwita mama Abuu, kutokana na mtoto wake wakiume, aliemwita Abdulazizi, jina la kijana wakipekee walikutana nae mjini.
“mi nawajibu, wasinisumbue” alisema Zuleiya, inamshangaza kidogo mama yake, “sasa utaki kuolewa mwanangu?” aliuliza mama Zuu, “Abuu si alisema atuwezi kuzini mpaka tuowane” jibu ilo lilimshtua mama Zuu, ambae aliachia tabasamu.
“mbona akusema kama mmeongea kuhusu ilo?” aliuliza mama Zuu, ambae furaha yake ilionekana wazi, “kwani yeye si ndio anatakiwa aje kusema” alisema Zuleiya, huku ameinamisha kichwa chini.
Kitu ambacho Zuleiya akutana nacho katika kipindi iki, ni kukatishwa tamaa na wanakijiji wenzake, siyo tu wanaume walio mtongoza, ila pia na waschana wenzake, ambao wengi wao walisha olewa na kuachika.
“hivi unawajuwa wanaume wamjini, walivyo wahuni, we aya tu, utashangaa mwenzio anamwanamke mwingine huko mjini” wengi walimwambia hivyo, huku wengine walienda mbali zaidi, “hakuna wanaume wamjini anaowa kijijini”
Lakini Zuleiya, aliamini, kuna wanaume wa mjini, alafu kuna Abdulazizi, yeye ni tofauti na wanaume wengine, maana kama angekuwa hivyo, basi tayari angesha onyesha dalili ya kutaka walale pamoja.
Taarifa hii, ilimfikia mzee Abdallah, ambae alimwambia mke wake, waendelee kusubiri, lakini walisubiri kwa miezi mingine mitatu, mpaka mwezi wa saba, ambapo siku hiyo, binti yao aliomba luksa ya kumtembelea Abdulazizi.
Wazazi awakuwa na kinyongo, wakamlihusu, huku wakimfungashia zawadi kwa Abdulazizi, wakimsisitiza asiage kwa mtu yoyote, baba yake alimsindikiza mpaka njia panda ya mwarabu, ambako ndio kwenye barabara nzuri.
Zuleiya ambae alikuwa anahamu ya mambo mawili tu, kwanza kupajuwa nyumbani kwa Abdulazizi, iliaone kama anamwamke mwingine au la, pili kusikia Abdulazizi akizungumzia maswala ya kuowana.
Dakika kumi na tano baadae, tayari Abdulazizi alikuwa amesha maliza kuswali, kisha anamrudia Zuleiya, “pole na safari” alisema Abdulazizi, wakati anakaa kwenye benchi, pembeni ya Zuleiya, lakini awakugusana.
“he!, yani kimbele mbele cha kuja mjini, chote kimeisha, nimechoka kuendesha baskeri, natamani unipeleke nyumbani nikaoge” alisema Zuleiya, ambae alishaambiwa kuwa chumba cha Abuu ni kimoja tu.
INAENDELEA


