1. Yeye atakuwa na shughuli kila wakati unapomuhitaji uwepoi wake.
2. Hakuheshimu.
3. Hakupigii simu au kukutumia meseji, wewe ndiye utakayetuma ujumbe na kupiga
simu bila kujibiwa.
4. Hajisikii vizuri kutembea na wewe na kukuonyesha kwa marafiki zake, anatoka
na wewe usiku tu, uatadhani wewe ni vampire.
5. Anakufokea, anakutukana na kutumia maneno ya kashfa.
6. Kila unalomfanyia kwake huwa kosa liwe jambo dogo au kubwa kwake yeye ni
kosa.
7.Hajali furaha yako,hawekezi kwako wala hafanyi chochote cha maana kwenye
mahusiano yenu.
8. Anakulipizia kila kosa unalofanya anakosa kabisa huruma
9. Hakupi haki yako usiku kama mume .
10. Basi utaishi ukiwa Huna furaha lakini huwezi kuondoka kwenye maisha yako
kwa sababu wewe ni mjinga na mpumbavu