Sunday, May 4, 2025

Mwanaume - Kupoteza Hisia za Kimapenzi wakati Unajiandaa Kugonga - Sababu Zake

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


 MWANAUME ANAWEZA KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI KWA SABABU ZIFUATAZO


1. Upungufu wa homoni za testosterone kadiri umri unavyozidi kuongezeka.

2. Matibabu ya magonjwa mbalimbali kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo, kisukari,uvimbe,ulevi kupindukia, uvutaji wa sigara kupitiliza na matumizi ya dawa za kulevya. Vilevile kutumia dawa kali kama antidepressants na baadhi ya dawa za fungus.

3. Ugonjwa sugu kama vile saratani,unene kupitiliza,
kufeli figo,mapafu,na ini huathiri sana hamu ya tendo la kujamiana.

4. Kuathirika kwa kujichua (Masterbation) - mwanaume ambaye ameathirika kwa kujichua kwa muda mrefu husababisha kupoteza hisia za mapenzi,

5. Kujihisi kuwa na Uume mdogo. Baadhi ya wanaume huwa wanajichukia sana kwa sababu anakuwa na uume mfupi sana (kibamia) hii inaweza kumuathiri kisaikolojia mpaka anapoteza hisia za mapenzi.

6. Hofu woga na wasiwasi husababisha mwanaume kupoteza hisia za mapenzi, wapo wanaume huwa wanatetemeka sana wakiona wenza wao. Hali hiyo husababisha kupoteza hisia za mapenzi haraka kwa sababu ya hofu kupitiliza.

Add Comments


EmoticonEmoticon