Thursday, May 1, 2025

Mwanamke – Wafahamu Vizuri Wanaume, Epuka Kuumia Kimapenzi

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


MWANAMKE – WAFAHAMU VIZURI WANAUME, EPUKA KUUMIA KIMAPENZI

Wanaume huwahitaji wanawake kwa sababu kuu mbili, tendo na upendo wa kweli, lakini mara nyingi wanaume huwa hawatambui wanawahitaji wanawake kwaajili ya tendo au kwa ajili ya upendo, hali hii hupelekea wanaume kuoa mtu asiye sahihi kwenye maisha yake.

Mwanaume anaweza kukupenda kwa kiasi kikubwa na asikuoe.
Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini kama atapata mtu ambaye ataleta utulivu katika maisha yake, basi atamuoa. Wanaume ni watu wenye maono ya ajabu sana hasa wanapofikiria kuhusu ndoa, huwa hawafikirii kuhusu wao wanafikiria kuishi tu na mtu yeyote atakae wafaa hata bila harusi wanaweza kuishi na mtu

Wanaume Wanafikiri kwamba mwanamke huyu anaweza kuniletea furaha ndani ya nyumba. Wanawake ni kama zabuni, wana uwezo wa kukupokea na kukuzalia anakuandalia chakula pale unapompa pesa kwa wakati anakupa amani, wewe unampa manii na anakupa watoto.

Kama Utampa usumbufu, inakuwa kama unajitengenezea ndoto mbaya ya maisha yakona wanaume wengi wanaijua hilo. Ndiyo maana mwanaume anaweza kukaa na mwanamke kwa miaka mingi na kukutana na mwanamke mwingine ndani ya mwezi mmoja, kisha akamuoa.

wanaume wengi kinachowaroga Ni utulivu tu wanaotaka.
Mapenzi ni raha kama kuna utulivu na muwe mnapendana, mapenzi ni mapenzi tu, lakini HESHIMA ni utulivu.

Add Comments


EmoticonEmoticon