Waungwana, tuseme ukweli. Historia ya mwanamke ni muhimu kuifahamu kabla
hujamuoa. Ikiwa atakuwa na wapenzi wengi kwaajili ya kujiridhisha kwa nafsi
yake kwene ngono, basi huyo hatafaa kuwa mkeo halali unayemhitaji kujenga nae
mustakabali salama wa maisha. Ukweli ni mchungu sana lakini lazima niuseme na
endapo utaupuuza ukweli utakupeleka kwenye njia ya hatari zaidi, ikiwa ni
pamoja na kuvunjika kwa ndoa, na hata uharibifu wa kifedha. Acha nikuchambulie,
moja kwa moja kwa uhakika. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini wanawake walio na
viwango vya juu vya wanaume wengi ndoa zao huwa hazidumu wao hujitahidi sana
kudumisha ndoa kwa hali na mali lakini kitakwimu zinaonyesha kuwa wana uwezekano
mkubwa kutodumu kwenye mahusiano ya aina moja
1. Daima katika ndoa ataishi kwa kukulinganisha wewe na Wanaume Wengine
aliowahi kuwa nao. Mwanamke ambaye tayari ameshakuwa na wanaume wengi
kwenye mahusiano yake akili yake hubeba kumbukumbu ya uzoefu wa wanaume hao
kitandani. Kila saa ataishi kwa Atakupima uwezo wako wa kitandani na mwanamume
ambao amewahi kuwa nao siku za nyuma jinsi walivyomridhisha kitandani, au
walichompa. yeye anakuwa Na mchezo wa kukulinganisha wewe na waliopita na
katika mchezo huo hutaweza kushinda hata mara moja kwake wewe utakuwa hujui
kila siku. Haijalishi unamfanya nini, daima atapata sababu ya kujisikia
kutoridhika na wewe kwa sababu amezoea aina mbalimbali ya maumbile.
kulinganisha sana vitu mara kwa mara huharibu msingi wa uhusiano yoyote.
2. Anakuwa ni mtu Aliyechanganyikiwa na Kuhangaika Kujua kipi Anachotaka.
Mwanamke anapokuwa na wapenzi wengi, hupelekea kuficha hisia zake halisi kwa
kutumia vipaumbele. Anakuwa ni mtu asiye na maamuzi sahihi, asiye na uhakika wa
kile anachothamini na kukipenda kweli kwa mwanamume wote aliopita nao au
uhusiano. Wapenzi wake wa zamani wanakuwa wameacha alama zinazoshindana kwenye
nafsi yake, na kumwacha akiwa amegawanyika kihisia. Anakosa uwazi, na kujikuta
anakosa maana halisi ya mwanaume sahihi kikamilifu.
3. Mwisho anakuwa ni mtu ambaye Hawezi Kuridhika Kimapenzi.
Mwanamke ambaye amepitia na wanaume wengi kwenye ngono mara nyingi huwa na hamu
isiyojitoshereza. Kwasababu Amezoea mambo mapya ya kusisimua, hisia mpya, na
mambo mapya ya mara kwa mara. Hii inamfanya kuwa vigumu kwake kukaa katika
mahusiano na mtu mmoja kwa muda mrefu. Kuna saa Anaweza kuanza kukuchukia kwa
kutokidhi matarajio yake yasiyo ya kweli, na kusababisha ugomvi usio na msingi
au kupelekea talaka.
4. Ana uwezekano mkubwa wa kutoa mimba nyingi
Kwaajili ya kuuridhisha mwili wake tu kwa mwanamke wa namna hii basi ana
uwezekano mkubwa wa kupata mimba zisizopangwa na yeye ukafanya kazi ya utoaji
mimba. Hii haiachi tu makovu ya kimwili bali inajenga mizigo mikubwa ya kihisia
ambayo baadae ataiingiza ndani ya ndoa yako. Wanawake wengi huwa wanaweka siri
kubwa kwenye hili swala la kutoa siri za mahusiano yao ya mwanzo hawapendi kuwa
wawazi kuhusu historia ya mahusiano bila kujua kuwa hii ndiyo sumu
itakayoharibu mahusiano yao
5. Anaweza akawa ameolewa na bado akawa na mawasiliano na Wapenzi Wake wa
zamani. Wanawake walio na idadi kubwa ya wapenzi mara nyingi hudumisha
mahusiano na wapenzi wao wa zamani iwe ni kwa kutamani au kupenda kweli.
Mahusiano ya namna hii huleta mchezo wa kuigiza ndani ya ndoa. Fikiria
kushindana na umakini wa mwanamke wakati yeye anafanya kazi ya kumfikiria kila
mwanaume ambaye amewahi kuwa naye.
6. Hata siku moja Hawezi Kutengeneza ukaribu na wewe wa kuaminika na ukadumu
milele. Uhusiano wa watu wawili wawili ni uhusiano wa kihisia unaoendelea
kati ya watu wawili katika uhusiano wa kujitolea kila mtu. Mwanamke ambaye
amekuwa na wapenzi wengi anakuwa amedhofika uwezo wa kulinganisha mahusiano
yake. Kila wakati anapoingia na kuvunja ndoa, kila mahusiano yanakuwa magumu
kuyadumisha. Hii inamfanya ashindwe kushikamana kikamilifu kihisia.
7. Anakuwa Amevunjika kihisia na anakuwa anaishi maisha ya kubeba Mizigo ya
hisia. Kila mahusiano huacha alama kwake. Mwanamke aliye na idadi kubwa ya
wapenzi hubeba majeraha ya mihemko, kukatishwa tamaa, na majeraha ya kila
mwanaume aliyewahi kuwa nae. Mzigo huu huwa unamelemea sana kazi yake huwa ni
kushushughulika na uchafu alioachiwa na kila mwanaume ambaye amewahi kuwa naye.
8. Ni mtu ambaye Amezoea Kuruka Kutoka na wanaume wengi.
Mazoea ya zamani huwa hayasahauliki kirahisi. Ikiwa ametumia miaka mingi kutoka
na mwanaume zaidi ya wawili mmoja hadi mwingine, Hapo inakuwa hakuna uwezekano
wa kubadili tabia hiyo hata kama yupo katika ndoa. mambo yake yanapokuwa magumu
kwenye ndoa au mahusiano yake, chaguo lake la msingi huchukua hatua za kuondoka
na kutafuta mtu mwingine. Kwenye akili na mawazo yake yeye huamini kuwa wanaume
wanaweza kubadilishwa kama nguo.
9. Akiwa na wewe fikra zake Anaamini anauwezo wa Kuchukua Nafasi Yako mpaka kukuteka
kiakili. Mwanamke aliyekuwa wapenzi wengi mara nyingi hupata hisia
mazingira yoyote. huwa Anaamini daima kuwa hakutakuwa na mwanamke mwingine anayeweza
kuchukua nafasi yake kwako. Imani hii inampa akili ndogo kwenye kutatua
matatizo au kuthamini uhusiano yaliyopita.
10. Anakuwa Hana Shukrani na Hajui kutenda haki
Kadiri mwanamke anavyozidi kuwa na wanaume wengi zaidi, ndivyo anavyozidi
kupoteza radha ya tendo. Mwisho anakuwa Amezoea kufuatwafatwa, kugombana,
kupigwa mara nyingi na kudharirishwa na wanaume, jambo hili linamfanya
asithamini juhudi zake kwenye maisha. Hata ulete kiasi gani mezani, yeye
anaamini kuwa anastahili zaidi ya kile ulichompatia. na hutasikia neno Shukrani
Ndoa ni mojawapo ya maamuzi makubwa zaidi kwenye maisha yako utakayofanya,
na kuchagua mke yupi anayefaa hivyo ukikosea tu kuoa hali hii inaweza
kukugharimu amani yako ya moyo, fedha zako na maisha yako ya baadaye.
Kitakwimu, inaonyesha kuwa wanawake walio na wapenzi wachache ndiyo wana
uwezekano mkubwa wa kuwa na ndoa za kudumu. Uchunguzi umeonyesha kuwa wanawake
walio na idadi kubwa ya wapenzi wengi wana kiwango cha juu zaidi cha kuachika
ikilinganishwa na wale walio na historia ndogo ya ngono, maelezo haya
hayahusiani na kuwaaibisha wanawake bali inahusu kuleta uelewa uhalisi kuhusu
tabia za kibinadamu na kukusaidia wewe mwanaume kufanya maamuzi sahihi kabla
hujaoa.
Neno la Mwisho kwa wanaume
Wanaume jilindeni vizuri kuna baadhi ya Wanawake hawana huruma. ukiwa na
mahusiano mwanaume jitahidi kuulliza maswali magumu wala uiogope kujibiwa vbaya
au kuachwa. siku ukiingia mkenge kwenye ndoa watu watakwambia kauli inayosema
uangalia nyuma historia ya mkeo, ukweli utabakia kuwa maisha yake ya nyuma na
mwenendo aliokuwa nao ni kielelezo tosha cha maisha yako ya leo. Usicheze
kamari kwenye amani ya moyo wako, rasilimali zako, au urithi wako. Mwanamke
ambaye ameishi bila kujali thamani yake kwanza hawezi kuwa na mapenzi imara,
Kaa chonjo kijana mjini hapa utaibiwa, chagua mke kwa njia ya busara, na
ukiwa umetliza akili yako . Ndoa ni muhimu sana kwa kil mwanaume pia kumbuka
kosea vyote kwenye maisha ila usije kukosea kuoa ni hatari mno